DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Kindly, usinilishe maneno…..

Unachokisema kiko obvious.
 
Ulikuwa unataka kumaanisha Nini?
It was very simple concept, i don’t know how am i going to understand it for you. 🌝

Kwanza nilivamia parade ya watu, nikaleta my unpopular opinion iliyosababisha Gunner anijibu, Nilisema hivi: as long as mwanamke anazaa/tarajia kuzaa basi ni single mother mtarajiwa. Ni out of topic au basi lilikuwa ni angalizo lenye lengo la kuwataka wanaojadili main topic wajaribu kuholdiana accountable likija suala la single mother , either way wanaume ndio chanzo cha mwanamke kupata mimba, hamna chanzo kingine hence a mother or single mother, sababu moment yoyote ile mwanaume akiamua kutokulea mtoto wake huyu mwanamama atakuwa single mother ; either alizaa kabla ya ndoa, alizaa kwenye uchumba, alizaa kwa one night stand, au alizaa kwenye ndoa, ndoa ikavunjika/akafiwa etc

It’s a whole ass broad picture.. Aliyeniqoute alielewa, kuna mahali akanipinga, mahali pengine akakubaliana na mimi na mahali pengine akaleta upande wa pili wa shillingi.

Suala la kutoa mimba halikuja kama ulivolielewa, don’t be sensitive… Lilikuja kwa mantiki hii: Ukipata mimba it’s either utoe ili usizae ukajiweka kwenye risk ya kuwa single mother, ama uzae which ni ticket ya moja kwa moja ya kuwa single mother , only ukizingatia my unpopular opinion…. Ambayo imemjumuisha yule single mother wa kwenye ndoa……..!

Kama hujui kuchakata, hutoelewa tena.
 
Single mother hawakupenda kuwa hivyo na siyo wote wenye tabia hizo ifikie sehemu tuwaombee wanapitia mengi sana katika malezi pamoja na mbaya tunayoambiwa na sisi ni binadamu tuna nafasi ya kupenda Tena hata kama tuliachwa na baba wa watoto na kitu kingine tupumzisheni basi
 
Ukiachana na hiyo concept yako, nikwambie kwanini single mothers wanasemwa ni kwasababu asilimia kubwa Wana sifa zinazozafanana kitu kizito kilichonipata Mimi unaona kwa wanaume wenzako Nikile kile. Mmoja wa single mother niliwahi kudate nae nilimkuta akiwa na mimba na akanieleza kuwa mzazi mwenza kaikataa na mambo mengi mabaya kuhusu huyo mwenza wake basi kwa huruma nilinao na kwasababu nimefall in love maana alikuwa pisi ya maana sana kiasi ambacho nikajiuliza huyo jamaa kwanini anacha pisi kama hii basi tukaingia kwenye mahusiano nae kwa kweli penzi lilikuwa shatashata na nikabeba mpaka jukumu la kumsaidia mtoto wake alivyo mjinga si akaja kurudiana na yule mwenza wake Mimi nilikuwa sijui Tena walikuwa wanaishi pamoja maana Mimi na yeye tulikuwa tunaishi tofauti nimegundua pindi alivyonikaribisha kwake niliona Kuna nguo za kiume zimefichwa na hatujakaa sawa mwenza wake akatukuta. Hivi kwa akili kama hizi hapo utamlaumu aliyemzalisha au mwanamke mwenyewe? Kesi kama hizi asimilia kubwa sisi wanaume tunakuna nazo hasa ukidate na single mothers kwa style hiyo kwanini wasisemwe huwa mnaona kama tunawaonea reality ndivyo tunakutanana navyo ground umeona Natafuta Ajira kuzungumzia sio kwamba katunga
ShesRise_1
 
Kama mwanamke hazai na mtu asiyempenda kwanini mwanamke huyohuyo anaweza kumuacha mwanaume aliyezaa naye? Au unataka kusema hawapo wanawake waliokimbia waume zao waliokwisha zaa nao? Mbona wapo wengi sana.
 
Tukienda na tafsiri yako ya mwanaume"kuwa kwenye maisha ya mwanawe" tunaweza kujikuta tupo na kundi dogo sana la single mothers kuliko tunavyodhani. Ni wanaume wachache ambao "hawawi" kwenye maisha ya watoto wao completely. Wengi akiweza kuongea na mwanawe ataongea naye, akiwa na chochote atampa mwanawe chochote kidogo (japo sometimes mpaka akumbushwe). Sasa hapo mwanaume anakua ndani ya maisha ya mwanawe sema kwa uchache sana.

Kumbuka pia sio mara zote ni kosa la mwanaume kutokua ndani ya maisha ya mwanawe kikamilifu. Mazingira yanachangia pia. Mfano, mwanamke anaishi na mtoto ila mwanamke anakataa kutoa updates za hali ya mtoto regularly japo akitumiwa pesa anachukua (this is very common). Au mwanamke anabana mtoto asikutane au kuongea na baba yake regularly. Mtoto anaambiwa constantly na mama kwamba baba yako ni mtu mbaya, mtoto anafika mahali anaamini anachoambiwa na mama dhidi ya baba, anapunguza au anakata mawasiliano na baba yake. Hapa lazima uwepo wa baba kwenye maisha ya mwanawe uwe mdogo.
 
Ukimpenda Mmakonde, mpende na ndonya yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…