DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Cha kushangaza ndoa nyingi huku mtaani ni za single mothers 😂 na hii ndio inayowafanya hawa broke guys wasiishiwe makasiriko,
mwanamke aliyeamua kulea kiumbe chake kwa jasho na damu namuheshimu sana kuliko lishenzi limoja lililokimbia mkojo wake halafu linaanza kumsimanga mwanamke yule shujaa, ndio maana mkizeeka mnakua wanyonge wenye majuto, hakuna simu ya kujuliwa hali, huku wamama wakifaidi vitenge na tours mbali mbali kutoka kwa mayai yake aliyoyalea kwa upendo.
 
Imagine
uzuri haya huwa yanaishia hapa tu
Huku mtaani hali halisi wala sio haya yanaandikwq jf
Single mother anaoana na single father ni mara chache sana kukuta single mother anaolewa na mwanaume ambaye Hana mtoto hasa kwa ndoa za kikristo ila kwa ndoa za kislamu single mothers wanaolewa sana either anakuwa ni mke wa pili
 
Super woman ni marketing campaign ambayo ilikuwa created kumuaminisha mwanamke kwamba anaweza fanya hivyo, ila matokeo mtaani yanajulikana
 
Ndio maana mimi huwa nawshangaa hizi habari zao za kujilisha faraja mitandaoni kumbe wanateseka kisaikolojia! Wanaolewa sana haohao mnaowaita singo mazaz tuwafahamishe tu!
 
Mm napenda mahusiano na SM sbb mara nyingi amepitia changamoto mbalimbali za maisha na anaweza kuwa na mtazamo wa ukomavu katika mahusiano.
Mara nyingi ndio iko hivyo! Hashtuliwi na lolote so far!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…