DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Kuoa single maza ni laana
 
Imagine
Tena unakuta kijana ana watt 3 -5
Kila mmoja na mama yake ila wao hawaonekani km single father mzigo wote anapewa mwanamke

Upuuzi mtupu
Nature inawahukumu mwanaume na mwanamke tofauti hata kwenye situation moja. Kuna masuala mengine pia ambayo mwanaume anahukumiwa kikatili lakini mwanamke anatoboa.

Mfano kijana wa kiume wa kike ambao hawana kipato. Kijana wa kike jamii inamuelewa, atasikilizwa, atapendwa na atapata favouritism katika masuala mengi kwa sababu ni mwanamke, lakini kijana wa kiume asiye na hela ni useless kwenye jamii yake
 
Nichukulie mfano mm mwnyw, mm sina mtoto kabisa, vp n sahihi kuwa na single mother?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…