Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

Kwahiyo Diwani kaanza kuugua mara tu baada ya kuondolewa nafasi aliyokuwa nayo na kupewa ya ikulu?

Huoni kwamba hii hypothesis yako imekufa kifo cha mende hata kabla hujamqloza kuiandika?
Sentensi nzima umeona neno kuumwa tu ambalo nimetoa kama mfano. Hujaona niliposema "ama ana sababu nyingine"?

Mbona mnalazimisha mambo
 
Kakataa teuzi, kakataa fedhea.

Halafu nyinyi mnaosema kuwa anarudi shamba hivi mnajua hela wanazojitengenezea hao jamaa..?

Kuna ndugu yangu wa kumfahamu moja kwa moja alikuwa ni Zonal Manager wa JKT, hela alizonazo na mali alizonazo nadhani ni za kula hata miaka 100 huko mbele...alipandishwa cheo na sasa ni mkurugenzi kitaifa.

Hawa watu wa system hawawezi kuwa na maisha magumu kama mnavyofikiri, hela walizochuma ni nyingi mnooo.
 
Huko jeshini na sercret service ni order mkuu, kuna yule canal alikuwa mkuu wa wilaya akaomba apangiwe sehemu nyingine akafukuzwa jeshini moja kwa moja.
Japo kwa mtu kama Diwani kama ni washikaji wanaweza kuyazungumza kishikaji.
 
Tena iyo Chief of staff ni tofauti kama ile ya kijazi na bashiru ile ni katibu mkuu kiongozi. Hii Diwani alitopewa ni katibu mkuu tuu. Kazi yake ilikuwa kuandaa mafaili tu yani alikuwa hana tofauti na secretary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…