Dk. Jonh Pombe Magufuli achukua fomu kugombea urais wa Tanzania

Hivi taifa linaingia gharama kiasi gani kutokana na kupanga nyumba za viongozi baada ya kuuza nyumba zake.
 
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.
 
...............................................................................................................................................................
ukiishakuwa mfuasi wa lowassa huna haki tena ya kuzungumzia uadilifu, maana Lowassa ndio msingi na mzizi wa uchafu na ufisadi katika taifa hili, hivyo kama kwako lowassa ni msafi basi hakuna tena aliye mchafu.
 
Nilikuwa namkubali jamaa ila ndo ivyo tena zile 262 bill na iki kivuko cha bagamoyo mimi choka kabisa
 
Jembe huoni hata aibu kusema. Maeneo yote nyeti wameuziwa watu binafsi, including vimada wake e.g Kebbys Hotel. Wewe umekaa kushabikia upuuzi. Huyu mtu angekuwa China angekuwa ameshanyongwa siku nyingi

nyi mmetumwa na Lowassa tu.
 
Zile bilioni 262 zimeenda wapi?

Naamini tutapata taarifa rasmi juu ya taarifa hiyo ya CAG toka kwa wizara ya ujenzi na toka kwa Chadema juu ya taarifa ya CAG.

Haya tuhamie masuala mengine wakati tukisubiri majibu rasmi toka kwa wizara ya ujenzi na toka kwa Chadema juu ya report ya CAG.




[/QUOTE]
 
Emma, kama huna ya kuongea kaa kimya, siku ya pili sasa huna hoja nyingine?kila sentesi mbili unarudia hayohayo.Grow!!

Huyu ni team Lowassa. Hawa team Lowassa wanamwogopa sana Magufuri. ndiyo maana kila mara wanajitahidi kumshusha Magufuri. Ukweli ni kwamba you cannot fool all people, Kazi aliyoufanya Magufuri inaonekana!!
 
Hapo ndo akili ya watanzania siwaelewi. Kama anaweza kuwa mtendaji atashindwa nini kuwa rais.

Alafu wanalalamika mambo hayaendi na wakati huohuo hawataki mtendaji?watu wengine akili zao zinawatosha wenyewe.


Wengine eti kwao Fisadi Lowassa ndio chaguo la urais alafu eti wanajifanya kuzungumzia usafi, toka lini aliye ndani ya tope mwili mzima akaona mwingine kuwa mchafu??maigizo matupu!!
 

Mi siyo CCM lakini utendaji wa Magufuri ni credit tosha. Nahofia kama watanzania ni wa namna hii itatuchukua karne kuendelea. Wakati mwingine nadhani hawa wanaandika purposely kutetea mafisadi. Hii ndiyo aliyosema Msigwa ya akili ndogo kutawala kubwa!
 

Eleza mazuri aliyofanya basi, au yeye kaharibu kila kitu wizara ya ujenzi.
 
Mh. Magufuli amefanya kile ambacho wengi hawakuweza. Na ameepuka kosa kubwa la kiufundi. Kuepuka ku pre-rmpty Ilani ya uchaguzi ya chama. Maana hata uimbe mpaka asubuhi, hata uwe na kipaumbele gani, Ilani ya chama ndio itakayokuongoza katika kusimamia serikali na maendeleo ya nchi. Yeye amesema atasimamia Ilani, na vipaumbele vyake vitatokana na Ilani ya Chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…