Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Ndoa imefungiwa Tabora huko
 
Uzi usindikizwe na ngoma ya Bado niponipo ya MwanaFa "ukiambiwa ni boyfriend haimanishi uko peke yako wadogo usoni wanahifadhi wazee wako sijui ni dhiki au nitamaa tu watoto wanaendekeza njaa tu hawangalii mapenzi wanachoona ni mkwanja"
 
Katibu mkuu wa wizara ya sanaa na michezo amefunga ndoa na mtangazaji wa clouds media group mkue isale maarufu kama mamy baby......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…