Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Wewe itakuwa na uelewa mdogo sana. Huelewi hata maana ya nia. Kauli haifanyi kuwa nia bali ukifanya matendo fulani ya kufanikisha jambo fulani, hata kama hukufanikiwa, ndiyo hutengeneza au kuthibitisha kuwa kulikuwa na nia.

Mthalani, unataka kujenga nyumba, ukaandaa vifaa vya ujenzj, ukabeba vifaa vyako vya ujenzi mpaka site. Ukachimba na msingi, bahati mbaya mvua zikawa kubwa. Site nzima ikawa flooded, nyumba ikashindwa kujengwa. Wewe ulikuwa na nia ya kujenga nyumba.

Lakini hukuandaa chochote, hujaandaa pesa, wala mahitaji, hata pesa ya kujengea vyumba viwili tu huna, ukasema tu, mwaka huu lazima nijenge nyumba ya ghotofa 100. Kauli yako hiyo wala haiwezi kutafsiriwa kuwa uliwahi kuwa na nia.
makuwadi ya wauza bandari you are now using a last weapon and if you fail to achieve your aim, you must be prepared to go, otherwise you will see aftermath.
 
Kuna Watu Akili hatuna,, Hivi Kweli Kuna MTU Anaweza kumpindua Rais wetu???IGP aache kudharau Jeshi..Hakuna wa kupindua Nchi hata IGP Hawezi!!Tupo imara kuliko Jana.
 
Kutetea wahaini ni uhaini, Huyu Dokta naye ni mhaini, akamatwe

IMG_20230816_064422.jpg
 
Ndiyo kaul za viongozi wenu hizo
Unakumbuka siro na ugaid wa mbowe??
Had unajiuliza hawa jamaa waliwaza vzr kweli?? Wanajua madhara ya kauli zao??
ccm imefuga yale mapaka huku kwetu tunayaita kimbulu ambayo huwa yanakula kuku kwa kuiba. Ninamaanisha ccm kwa sasa yamegeuka madalali na makuwadi ya warabu yanauza bandari zetu halafu wazalendo wa kweli wanapopambana kuhami huo upumbavu genge la makuwadi linatumia polis kutisha watu ninachotaka kusema kunahaja ya kuonyeshana ubabe ili heshima ije, otherwise huo upumbavu utaleta shida sana.
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
Kabisa, kama ningekuwa na uwezo ningeyafutilia mbali.......pumbav kabisa!
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
Ikiwa huna akili za kutosha kuelewa kilichozungumzwa kaa kimya kuficha ujinga wako
 
Hata Zanzibar Sultani alipinduliwa na mapanga na marungu.
Unapohamashisha uhaini kwa jamii hata kama huna mifumo na silaha za kutekeleza azima Yako, Bado unaleta madhara makubwa. Hali hii ikiachwa na kuendelea tu hata kama wanaoongea ni wehu Moja ya madhara yake ni kwa wananchi kutoiheshimu serikali Yao.
 
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.

Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.

Mungu ataamua kwa haki
 
Nia ya Dr.slaa na wenzake ni ovu hata kama hawana uwezo wa kupindua. Wahuni hawa lazima wadhibitiwe.
Kupitia mkataba wa bandari tuelekeze vipengele tukakavyofaidika navyo
Ili tuone nia njema ya wale waliosign huo mkataba
Lakini jambo zuri huwa linaonekana huwa haitakiwi nguvu yoyote kuwaambia watu kwamba ni zuri
 
BRAVO mama!

Tanzania itapona, hakuna ujanja ujanja na mazingaombwe yanayoweza kuizima nchi hii. Uchafu wote huu unaoizonga nchi yetu sasa hivi utafagiliwa mbali. Hakuna namna nyingine tena.

The die is cast
Ehe

Ova
 
Amiri Jeshi Mkuu Hawezi kupinduliwa,,kirahisi Kama anavyoongea Huyo IGP,,Ina Maana jeshi limeacha kumtii Mkuu wa Nchi.???limeanza kumtii Mdude. Acheni kudhalilisha Jeshi.
Teh teh,mtu unaishia kucheka tu

Ova
 
Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.

Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.

Mungu ataamua kwa haki
ZIPO KAZI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WATU LEGELEGE!
 
Back
Top Bottom