Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo raia mmoja au wawili wasio na mfungamano na Makundi yeyote yaliothibitishwa kwa matumizi ya silaha kuwa na uwezo wa kuingusha serikali kuu mamlakani wakati huo Nchi ipo katika utulivu wake wa siku zote.
Nani kakwambia kupindua lazima kuwe na matumizi ya silaha?

Soma kifungu cha 139 chote cha Sheria ya kanuni ya adhabu. Acha kujifanya mjuaji kumbe unadhihilisha ulivyo mjinga
 
Huyo dokta ni mwehu, hayo maneno Wambura kanukuu, walioyasema wapo ndani.
 
Hakika kauli ya IGP wambura haifai na ni ya aibu.

Hili ndilo tatizo la kuteua watu wasiokuwa na uwezo zaidi ya janja janja tu au sifa za pambio zinazopigwa na wapambe.

Nilishangazwa pia na hii kauli alipoitoa tu nashukuru haki za binadamu pia wakaliona hilo.
 
Ni kifungu kipi kwenye Penal Code cap.16 R.E.2022 kinachosema kuwa hicho ulichokisema ni kosa.
Kutafsiri hivo vifungu hiyo ni kazi ya Mahkama ndio itatoa hiyo tafsiri kama ilivo fanya kwa Kesi ya Mkataba wa Bandari
 
Hoja yangu binafsi ni ningefurahi huyo Ananileya,Angelikuwa mstaari wa mbele kulaani matamshi ya mwanasiasa na lugha wanazotumia katika kuipa jamii habari,Insteady of she's biased and lay into single sides!..shouldn't do so!
 
Hakika kauli ya IGP wambura haifai na ni ya aibu.

Hili ndilo tatizo la kuteua watu wasiokuwa na uwezo zaidi ya janja janja tu au sifa za pambio zinazopigwa na wapambe.

Nilishangazwa pia na hii kauli alipoitoa tu nashukuru haki za binadamu pia wakaliona hilo.
Kwani wilbroad alisema nini, "tuache kujitoa ufahamu" kauli sikuzote hutangulia na matendo kufuata,this is common principles!
 
Kwani wilbroad alisema nini, "tuache kujitoa ufahamu" kauli sikuzote hutangulia na matendo kufuata,this is common principles!
Msikilize vizuri huyo Mama na kama huelewi nakujuza tu nchi haiwezi kupinduliwa kwa kauli iliyoongelewa clubhouse msiwe mnapenda kukuza mambo na kuileta taharuki

Wambura kadhalilisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa kuropoka kwake
 
Kauli ndicho chanzo cha kila kitu, kauli kama hii haiwezi kupuuzwa,ukizingatia Dr mihogo sio,verified madman.
Angelikuwa verified madman hata jeshi letu lisingeshughulika naye!.
Huyu Dr A.Nkya, hajui afanyalo!..wala anachozungumza!
 
Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.

Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.

Mungu ataamua kwa haki
Ukatili sio uasili yake, anafanya hivyo kwa sababu ya mamlaka alipewa, hivi tunadhani mwenye mamlaka akiwa kinyume huo Ukatili atafanya?? Na je tunadhani Ukatili huo anafanya kila. Mtu a nafurahia? Jiulize mambo ya ndani yanatokaje... Jua kikulacho kiko nguoni Mwako...hata uwe unalindwa kiasi gani... Chooni unaingia peke yako... 😁 😁 Iko siku wenye jeuri atabaki peke yao... Iwe duniani au kaburini... Hapo ndio utajua huwa kweli ni jasiri au kujidai!
 
Mshauri makini hachoki kutafuta njia yenye mwelekeo wa kumsaisia mshauriwa.

Wambura nimemsikiliza nukta zote alizoongea. Tayari alikuwa na dhamira ya kuwakamata wahusika lakini alikuwa anatafuta jina baya la kuwatundika kwanza.

Mkuu.
Intelejensia ni jambo la kibinadamu, wapo waliozaliwa na chembe hizo wala hawahitaji kupelekwa shule kufahamu masuala mtambuka
 
Wambura namwamini sana na naheshimu sana utendaji wake kwa miaka mingi.
Ila kwa kauli yake ile nimetia shaka na kuogopa kdg! nimejiuliza maswali mengi sana;
1. Ni yeye kweli au ni kwa weledi wake au alishurutishwa!
2. Alikuwa anaamini kweli yale aliyokuwa anayasema?
3. Anaamini kweli wale raia wanaweze kufanya mapinduzi?
4. Anajua madhara ya kauli ile kwa wageni wanaotaka kuja Tz?
CCM mnachokifanya sasa ni kutaka kuzima MOTO kwa viganja vya mikono yenu!
 
#Brother, if you are currently a government official or public servant behaving this way, you are hereby humbly advised to abstain from siding with the regime as you may be fixed when a different administration assumes power; so be moderate with your partiality statement such that you do not regret when the time comes. It is up to you to abnegate prevailing on the abomination side for a better tomorrow.
Si fanyi kqzi ya serikali na wala kiongozi wa serikali lakini wahuni wanaotaka kutuharibia amani ya nchi lazima wadhibitiwe
 
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Kama sarakasi hizi za uhaini zingekua deep naamin mfumo wa usalama Tanzania ungefanya uchunguz wa kina tena kimya kimya!! But sio kutangaza public et kuna watu wanataka kufanya uhaini, hii issue ni very sensitive!! NB; Hili nimeandika only kwa wanaojielewa na wasio wapokea bahasha za pesa ya kula!!
 
Duh, hili sasa limekuwa ni jukwaa la Wazanzibar.

Tupumzisheni tafadhali
 
Hata Zanzibar Sultani alipinduliwa na mapanga na marungu.
Unapohamashisha uhaini kwa jamii hata kama huna mifumo na silaha za kutekeleza azima Yako, Bado unaleta madhara makubwa. Hali hii ikiachwa na kuendelea tu hata kama wanaoongea ni wehu Moja ya madhara yake ni kwa wananchi kutoiheshimu serikali Yao.
Thank you,kila tatizo lilianza na kauli, kauli inaweza kuzaa "mass confrontations" HAYA MAKINA ANANILEA NKYA HAYANA AKILI KABISA,TUNAPIGANA KUZUIA CHANZO,AU "SPARK WORD"
"KUPINDUA TAIFA HAKUITAJI SILAHA AU MAJESHI,NI VILE JINSI UTAKAVYOWEZA KUWAJAZA RAIA UPEPO MCHAFU"
 
Back
Top Bottom