Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
Kama una akili ya uchawa kamwe hutoelewa.
 
Ikiwezekana hata hawa akina Nkya nao wakamatwe. Sio kwasababu eti ni wanaharakati watetee watenda maovu. Hii nchi haiendeshwi kwa Kambale Laws kwamba Kila mtu ana sharubu!
 
Wewe itakuwa na uelewa mdogo sana. Huelewi hata maana ya nia. Kauli haifanyi kuwa nia bali ukifanya matendo fulani ya kufanikisha jambo fulani, hata kama hukufanikiwa, ndiyo hutengeneza au kuthibitisha kuwa kulikuwa na nia.

Mthalani, unataka kujenga nyumba, ukaandaa vifaa vya ujenzj, ukabeba vifaa vyako vya ujenzi mpaka site. Ukachimba na msingi, bahati mbaya mvua zikawa kubwa. Site nzima ikawa flooded, nyumba ikashindwa kujengwa. Wewe ulikuwa na nia ya kujenga nyumba.

Lakini hukuandaa chochote, hujaandaa pesa, wala mahitaji, hata pesa ya kujengea vyumba viwili tu huna, ukasema tu, mwaka huu lazima nijenge nyumba ya ghotofa 100. Kauli yako hiyo wala haiwezi kutafsiriwa kuwa uliwahi kuwa na nia.
Halafu kauli hiyo umeitolea baani,slaa aachiwe.
 
Ikiwezekana hata hawa akina Nkya nao wakamatwe. Sio kwasababu eti ni wanaharakati watetee watenda maovu. Hii nchi haiendeshwi kwa Kambale Laws kwamba Kila mtu ana sharubu!
Unakenua meno kwenye mitandao ya kijamii na Wazazi wako kule kijijini wana kife gumu sana kwa sabanu ya utawala wa CCM, wazazi wako kutwa nzima wanachangishwa michango ilihali kuna watu wana beba pesa kwa magunia, acha ujinga
 
Bahati mbaya Mamaangu alifariki 1996 na Babaangu 2005. Ila hawakuwa watu wa shida hadi wanafariki na walituacha fresh tu.
 
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.

Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo raia mmoja au wawili wasio na mfungamano na Makundi yeyote yaliothibitishwa kwa matumizi ya silaha kuwa na uwezo wa kuingusha serikali kuu mamlakani wakati huo Nchi ipo katika utulivu wake wa siku zote.
 
Ipo script inazunguka mitandaoni inayojaribu kuonyesha waliokamatwa hawana tuhuma zenye kuhatarisha usalama wa serekali yetu.

Nimeshindwa kuwaelewa zaidi pale wanapoona mtu / watu wanakamatwa kwa kauli zenye utata na hatari kwa taifa letu, Wao kazi yao huwa ni kukemea vikali waachiwe huru.

-Huku wakisahau kwamba walipaswa kuwakemea na kuona ya kwamba lugha walizokuwa wakizitumia hao wanaowatetea hazikuwa sahihi na zilikuwa za kutweza.

Kudhalilisha na kufedhehesha,kwao hilo hawakuliona kabisa, I doubt hizi taasisi si za kutenda haki na kutetea UTU, kwa usawa kama vile zinavyojibinafsi kuwa ni za HAKI.

========

Katika hali ya kawaida, mazingira ya kawaida kabisa, popote duniani raia wa kawaida, hawezi kufanya uhaini. Mtu anayeweza kufanya uhaini ni mtu ambaye ana connectiona na mfumo wa serikali, jeshi au yuko ndani serikalini na ana connection ya jeshi la kuweza kufanya ivyo ili kumfikia rais.
nawe hata hueleweki unaandika nini, hao mafeminist waganga njaa tu wanawatumikia mabwana zao walioko Ulaya, waache serikali kupitia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ifanye kazi yake. Wazalendo unaotaka nchi yetu iendelee kuwa na amani tumesikia wale wapuuzi lugha walizokuwa wanatumia, ni za kichochezi, za kujenga chuki, kuigawa nchi na za kihaini. Walikuwa wameweka wazi kabisa wataondoa serikali kabla ya 2025 kwa maandmano yasiyo na kikomo. Hao Kina Ananilea Nkya na Anna Henga ni wapuuzi tu wanaojali matumbo yao, nchi hii ikihaibika hutawasikia popote zaidi pengine ya kukimbilia huko kwa mabwana zao wanaowafadhili. Wapuuzwe hao wapuuzi.
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
wale malaya tu, wanawake wa dizaini ile hata kuolewa ni shida, waliolewa huyo mwanaume lazima aishi kwa tabu.
 
Wewe itakuwa na uelewa mdogo sana. Huelewi hata maana ya nia. Kauli haifanyi kuwa nia bali ukifanya matendo fulani ya kufanikisha jambo fulani, hata kama hukufanikiwa, ndiyo hutengeneza au kuthibitisha kuwa kulikuwa na nia.

Mthalani, unataka kujenga nyumba, ukaandaa vifaa vya ujenzj, ukabeba vifaa vyako vya ujenzi mpaka site. Ukachimba na msingi, bahati mbaya mvua zikawa kubwa. Site nzima ikawa flooded, nyumba ikashindwa kujengwa. Wewe ulikuwa na nia ya kujenga nyumba.

Lakini hukuandaa chochote, hujaandaa pesa, wala mahitaji, hata pesa ya kujengea vyumba viwili tu huna, ukasema tu, mwaka huu lazima nijenge nyumba ya ghotofa 100. Kauli yako hiyo wala haiwezi kutafsiriwa kuwa uliwahi kuwa na nia.
we poyoyo tuliza hilo tako lako hujui kitu
 
Yuko sahihi, hiyo kauli ya IGP inamfanya Samia ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu aonekane dhaifu, au ambaye kachokwa na watu sana kiasi cha kustahili kuondolewa madarakani kinguvu.

Na ni kauli inayoleta taharuki nchini

Hawa Maaskari wajifunze kuhusu kesi za kubambikiza, siyo kujitamkia tamkia tu mikosa mikuuuubwa inayoweza kusababisha watu waondoe investments zao, wasilete investments.

Inasababisha nchi imulikwe kwa torch mbaya unnecessarily duniani.
we kafanye mambo yako hakuna unalojua, kima we
 
Wahuni wameenda kutengeneza clip ili kufanya justification ya tuhuma zao dhidi ya Dr. Slaa, haiwezekani Dr. Slaa kama aliwahi kutamka maneno yale, tena akiwa na nia ile, halafu sisi wengine wote tusisikie, asikie IGP na vibaraka wake pekee.

Wajinga wameenda kukata sehemu ya maneno ya kwenye interview yake, wakachukua kipande walichoona kinawafaa wao, wakati alikuwa akizungumzia jambo tofauti kabisa.

Vile imeonekana Dr. Slaa alikuwa akizungumza kwa jazba, basi ndio wakajiona wamefanikiwa malengo yao, hivyo wamekuja nacho public kuwadanganya wajinga, ajabu wapo wajinga walioamini, hakuna kitu pale, Samia avunje ule mkataba wa hovyo bandari zetu zirudi mikononi mwetu, asijidanganye na hadaa za kitoto kwetu.
we nafikiri ni kiziwi, mbona maneno yake yako yuotube hata sahivi, au huelewi lugha ya kiswahili. Kenge kweli wache washughulikiwe akili iwarudi, wapumbavu wale
 
Yuko sahihi, hiyo kauli ya IGP inamfanya Samia ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu aonekane dhaifu, au ambaye kachokwa na watu sana kiasi cha kustahili kuondolewa madarakani kinguvu.

Na ni kauli inayoleta taharuki nchini

Hawa Maaskari wajifunze kuhusu kesi za kubambikiza, siyo kujitamkia tamkia tu mikosa mikuuuubwa inayoweza kusababisha watu waondoe investments zao, wasilete investments.

Inasababisha nchi imulikwe kwa torch mbaya unnecessarily duniani.
Rais angekuwa dhaifu wasingekuwa wanashughulikiwa sahivi, wale nyau, sisimizi tu hawana impact yoyote wataishia kujutia upumbavu waliokuwa wanaufanya kutafuta cheap popularity
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
Watu watuhumiwe au washutumiwe kwa makosa yanayoendana na wanayoyafanya.
Kama ni lugha za matusi au uchochezi sidhani kama kuna yeyote angelalamika. Kila mmoja akitimiza wajibu wake kwa weledi, mambo yatakuwa sawa.
 
Ndugu una akili ndogo sana.
Samahani lakini.
Personally sina upande.
Nikuambie tu ule mkataba umeidhalilisha sana Serikali upende usipende...na unatakiwa ujue kwamba kwa sababu ulipostiwa mitandaoni kila mtu duniani anao hadi hao tunaokwenda kuwaomba misaada kila siku.
Wewe kwa akili yako unafikiri wanatuonaje?. .hawa viongozi wetu ndio wanatoa taswira ya Watanzania tulivyo.
Kwa maoni yangu suala hili mamlaka ilitakiwa mapema sana kulibeba na kulisimamia haijalishi makosa yaliyojitokeza ila naamini kwa makusudi wakakaa kimya ndio maana kila mtu akaja na lake ndio maana tumefika hapa.
Kwaheri.
 
Nia ya Dr.slaa na wenzake ni ovu hata kama hawana uwezo wa kupindua. Wahuni hawa lazima wadhibitiwe.
#Brother, if you are currently a government official or public servant behaving this way, you are hereby humbly advised to abstain from siding with the regime as you may be fixed when a different administration assumes power; so be moderate with your partiality statement such that you do not regret when the time comes. It is up to you to abnegate prevailing on the abomination side for a better tomorrow.
 
Back
Top Bottom