Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nani kakwambia kupindua lazima kuwe na matumizi ya silaha?Tanzania ndio nchi pekee duniani ambapo raia mmoja au wawili wasio na mfungamano na Makundi yeyote yaliothibitishwa kwa matumizi ya silaha kuwa na uwezo wa kuingusha serikali kuu mamlakani wakati huo Nchi ipo katika utulivu wake wa siku zote.
Soma kifungu cha 139 chote cha Sheria ya kanuni ya adhabu. Acha kujifanya mjuaji kumbe unadhihilisha ulivyo mjinga