Dkt. Ananilea Nkya: IGP kusema Rais atapinduliwa ni kutweza utu wa Rais, kuonesha jeshi limeshindwa kumlinda

makuwadi ya wauza bandari you are now using a last weapon and if you fail to achieve your aim, you must be prepared to go, otherwise you will see aftermath.
 
Kuna Watu Akili hatuna,, Hivi Kweli Kuna MTU Anaweza kumpindua Rais wetu???IGP aache kudharau Jeshi..Hakuna wa kupindua Nchi hata IGP Hawezi!!Tupo imara kuliko Jana.
 
Kutetea wahaini ni uhaini, Huyu Dokta naye ni mhaini, akamatwe

 
Ndiyo kaul za viongozi wenu hizo
Unakumbuka siro na ugaid wa mbowe??
Had unajiuliza hawa jamaa waliwaza vzr kweli?? Wanajua madhara ya kauli zao??
ccm imefuga yale mapaka huku kwetu tunayaita kimbulu ambayo huwa yanakula kuku kwa kuiba. Ninamaanisha ccm kwa sasa yamegeuka madalali na makuwadi ya warabu yanauza bandari zetu halafu wazalendo wa kweli wanapopambana kuhami huo upumbavu genge la makuwadi linatumia polis kutisha watu ninachotaka kusema kunahaja ya kuonyeshana ubabe ili heshima ije, otherwise huo upumbavu utaleta shida sana.
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
Kabisa, kama ningekuwa na uwezo ningeyafutilia mbali.......pumbav kabisa!
 
Hawa wanaojiita watetezi wa haki za binadamu ni watu hatari sana kwani wakati hawa watu wanapotoa lugha za matusi na hatari kwa viongozi wakuu wapo kimya lakini Serikali inapochukua hatua ndipo wanakimbilia vyombo vya habari na kutoa porojo za ovyo
Ikiwa huna akili za kutosha kuelewa kilichozungumzwa kaa kimya kuficha ujinga wako
 
Hata Zanzibar Sultani alipinduliwa na mapanga na marungu.
Unapohamashisha uhaini kwa jamii hata kama huna mifumo na silaha za kutekeleza azima Yako, Bado unaleta madhara makubwa. Hali hii ikiachwa na kuendelea tu hata kama wanaoongea ni wehu Moja ya madhara yake ni kwa wananchi kutoiheshimu serikali Yao.
 
Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.

Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.

Mungu ataamua kwa haki
 
Nia ya Dr.slaa na wenzake ni ovu hata kama hawana uwezo wa kupindua. Wahuni hawa lazima wadhibitiwe.
Kupitia mkataba wa bandari tuelekeze vipengele tukakavyofaidika navyo
Ili tuone nia njema ya wale waliosign huo mkataba
Lakini jambo zuri huwa linaonekana huwa haitakiwi nguvu yoyote kuwaambia watu kwamba ni zuri
 
BRAVO mama!

Tanzania itapona, hakuna ujanja ujanja na mazingaombwe yanayoweza kuizima nchi hii. Uchafu wote huu unaoizonga nchi yetu sasa hivi utafagiliwa mbali. Hakuna namna nyingine tena.

The die is cast
Ehe

Ova
 
Amiri Jeshi Mkuu Hawezi kupinduliwa,,kirahisi Kama anavyoongea Huyo IGP,,Ina Maana jeshi limeacha kumtii Mkuu wa Nchi.???limeanza kumtii Mdude. Acheni kudhalilisha Jeshi.
Teh teh,mtu unaishia kucheka tu

Ova
 
Kwa msiomfahamu Wambura, rejeeni kwenye operesheni ya panyaroad ndo mtafahamu ni mtu wa aina gani.

Jamaa ni katili namba moja. Ni muhimu kuelewa kuwa haki ya kuishi ni ya asili zaidi ya vipengele vya katiba.

Mungu ataamua kwa haki
ZIPO KAZI AMBAZO HAZIPASWI KUFANYWA NA WATU LEGELEGE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…