Kwamba Waziri Dkt. Ashatu Kijaji angali ofisini, hii ni Tanzania tu.
Huyu ndiye aliyedai Kariakoo hakukuwa na mgomo. Mengine sasa ni historia na Mh. yuko ofisini ana chapa kazi kama vile hakuna alilosema.
Hayo yakiendelea wapinzani tunakenua, CDM tunakenua, JF tunakenua, nk, inasikitisha.
TAL we want our CDM back:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Waongo waongo ni muhimu wakatiwa adabu.
Ofisi za umma haziwezo kuwa zakufanyia mizaha namna hii.