Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

Hana uwezo wa kuongoza wizara yyt labda kikundi cha kikoba!
Wamama wa vikoba ni makini sana, hivyo Waziri mpuuzi kama huyo akiwaletea Shombo Wamama wa vikoba wataishia kumtoboa macho yake kwa makucha.
 
Kwamba Waziri Dkt. Ashatu Kijaji angali ofisini, hii ni Tanzania tu.

Huyu ndiye aliyedai Kariakoo hakukuwa na mgomo. Mengine sasa ni historia na Mh. yuko ofisini ana chapa kazi kama vile hakuna alilosema.

Hayo yakiendelea wapinzani tunakenua, CDM tunakenua, JF tunakenua, nk, inasikitisha.

TAL we want our CDM back:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Waongo waongo ni muhimu wakatiwa adabu.

Ofisi za umma haziwezo kuwa zakufanyia mizaha namna hii.
 
Unazidi kubwabwaja
 
Samia mara zote huchagua mbuzi dhaifu wa kumtoa kafara, kwenye lile la CAG mbuzi dhaifu walikuwa wajumbe wa bodi ya shirika la reli, na kwenye hili la Kariakoo mbuzi dhaifu amekuwa Makalla, ndio kero huwa haziishi kwasababu hazitatuliwi kwa kumaanisha.
 
Back
Top Bottom