Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hana uwezo wa kuongoza wizara yyt labda kikundi cha kikoba!linaonyesha hana uwezo wa kuongoza ile Wizara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uwezo wa kuongoza wizara yyt labda kikundi cha kikoba!linaonyesha hana uwezo wa kuongoza ile Wizara.
Wamama wa vikoba ni makini sana, hivyo Waziri mpuuzi kama huyo akiwaletea Shombo Wamama wa vikoba wataishia kumtoboa macho yake kwa makucha.Hana uwezo wa kuongoza wizara yyt labda kikundi cha kikoba!
sema kucha zitaishia kwenye Sun gogoz yake!!Wamama wa vikoba wataishia kumtoboa macho yake kwa makucha.
Unazidi kubwabwajaKwamba Waziri Dkt. Ashatu Kijaji angali ofisini, hii ni Tanzania tu.
Huyu ndiye aliyedai Kariakoo hakukuwa na mgomo. Mengine sasa ni historia na Mh. yuko ofisini ana chapa kazi kama vile hakuna alilosema.
Hayo yakiendelea wapinzani tunakenua, CDM tunakenua, JF tunakenua, nk, inasikitisha.
TAL we want our CDM back:
Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine
Waongo waongo ni muhimu wakatiwa adabu.
Ofisi za umma haziwezo kuwa zakufanyia mizaha namna hii.
Anafanya kazi!