Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Kusema ukweli Upinzani tayari umekufa.Leo wameamia kwenye umati wakati kipindi kile walikuwa wanasema upinzani umekufa
Mtu mmoja ameweka chachu za kutosha katika uchaguzi huu. Jee wagombea Ubunge na Udiwani wamejipanga vya kutosha kusambaza injili?Ahaaa ahaaa, hao ndio walimuingiza mjini Magufuli na CCM yao academia, kuwa kampeni hizi atakuwa anapita anapungia tu. Tuendelee kuomba ukondoo wa watanzania a.k.a amani itamalaki. Kinyume na hapo ccm watacheka kichina kwenye box la kura.
Ushindi ni output na kinachoonekana Outdoor. CCM ndiyo iliyoshinda uchaguzi ule na kuunda serikali.Una hakika ccm ilishinda?!
Nyomi ya Lowassa iliizidi kidoogo nyomi ya Lyatonga Mrema mwaka 1995 ila kwenye chaguzi zote hizo CCM waliprevail na kufanikiwa kutangazwa washindi bila kelele wala jasho.1. Ule umati wa lowassa,Jaman jaman Lowassa alikuwa anajaza mpaka sasa sijaona mgombea aliyefikia kujaza kule.
Absolutely true. Mkuu!Nyomi ya Lowassa iliizidi kidoogo nyomi ya Lyatonga Mrema mwaka 1995 ila kwenye chaguzi zote hizo CCM waliprevail na kufanikiwa kutangazwa washindi bila kelele wala jasho.
Hawa watu kwa mbinu wanaongoza Africa Mashariki na kati. Anayeamini kwamba Lissu atatangazwa kwa kuwa tu "anajaza watu sana" either anajidanganya mwenyewe au ni mtoto na hakumbuki nini kilitokea mwaka 2015 na definitely hakuwepo mwaka 2015.
NEC ikibaki hivi ilivyo huku ikiendelea kuwa part & parcel ya TISS/JWTZ, ni ndoto kufanya mabadiliko ya Kiongozi Mkuu wa Nchi.
Embu muulize Lubuva afu ulete mrejeshoUshindi ni output na kinachoonekana Outdoor. CCM ndiyo iliyoshinda uchaguzi ule na kuunda serikali.
Hayo mambo ya indoor unayajua wewe.
....... Kwa kuiba kura sawa hata mimi nakubali!!Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Na ndiyo maana Bashiru na Polepole wameifikisha CCM hapa ilipo na kumpa wakati mgumu mgombea wao ,kwa kijifanya CCM mpya.Ndivyo anavyomdanganya Mwenyekiti wake?
WamejiandaaKatibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Source: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ndio wana huo mchezo kwa mujibu wa Lijualikali!....... Kwa kuiba kura sawa hata mimi nakubali!!
Hata Uraia wake una utata
Kama unaweza kukaa ukaamini anachosema lijuakali nina hakika kichwani mwako utakuwa huna Ubongo bali kamati viroba viwiliChadema ndio wana huo mchezo kwa mujibu wa Lijualikali!
Bashiru na Polepole wangempata Mgombea wa Upinzani legelege wangejisifu sana ila sio kwa Tundu Lissu Lissu ni level nyingineNa ndiyo maana Bashiru na Polepole wameifikisha CCM hapa ilipo na kumpa wakati mgumu mgombea wao ,kwa kijifanya CCM mpya.
Kutoka chama Tawala hadi kuwa chama cha fiesta na mabango
Wanatumia Polisi kupiga wapinzani wametuma watu kurusha mawe kule chato kama ni dhaifu iweje washinde wakibuni mbinu za kuvihujumu vyama vya upinzani?Labda kipofu ndiye anayeweza kukubaliana na hilo!
Unaweja kukuta ni raia wa HaitiHata Uraia wake una utata