Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Huwa ninacheka sana ninaposikia Hawa wanaccm wakisema eti ukijenga miundombinu basi ww ndio unapata kura.
 
Wamekwama sana na kuishiwa cha kuwaeleza wananchi ndiyo wanaongea mambo ambayo kimsingi yangeweza kuzungumzwa na kina Kibajaji
Huwa ninacheka sana ninaposikia Hawa wanaccm wakisema eti ukijenga miundombinu basi ww ndio unapata kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole aliwahi kusema CCM tume ikiwa huru ni wepesi sana,ila baada ya kuanza kuendeshwa kwny V8 aisee ukimuuliza swali lolote lile utasikia stigler's,SGR,elimu bure.

Full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅😅 we jamaa utakua n great thinker wa majungu ya ukweli kwamba wamejifichia nyuma ya vitu vitatu?
 
Maji ,elimu na afya zinatokana na (pesa) kodi za wananchi... yeyote anaweza kufanya bila kujali anatoka upande upi..
 
Wakishakuwa nje ya mfumo ndo ufahamu umuhimu Wa tume huru.Ni sawa na lowasa na sumaye hata walipokuwa kwenye mfumo awakuona umuhimu wa katiba mpya ni hadi walipokuwa upinzani wakaanza kudai hali wangeweza idai walipokuwa kwenye mfumo.
 
UCD

Kama miundombinu inaleta wapiga kura, basi wakoloni walipaswa kuwa wanatuwala mpaka leo, maana wao walijenga reli, walileta meli, walijenga mashule, hospitali, miundombinu ya umeme nk. Je kwanini hao wananchi waliwagomea?
 
Back
Top Bottom