Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Hivi Bashiru nae ni PhD holder? ccm anafanya biashara gani za kuweza kutoa elimu bure kwa watanzania,au kujenga barabara na miundombinu ya maji,Kama ana PhD basi nchi yetu itakuwa imepigwa laana si bure,sasa Kama msomi wa PhD anafanya siasa za level ya Msukuma Kuna nini tena hapoBinafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app