Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

Katika vitu napongeza awamu ya tano ni kutuonyesha dhahiri tabia za wanaojiita wasomi! Kumbe wana tamaa, njaa na tamaa ya vyeo kiasi vimemeza usomi na ufikiri wao kabisa!

Taifa hili tusitarajie wasomi kuliokoa, wameshafeli kabisa!
Tumuombe Mungu atunasue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kucopy na kupaste toka nchi nyingine kama tulivyofanya kwa BRN na mengine,mbona nchi nyingi tu zina tume huru za uchaguzi,si lazima tuanzishe formula yetu mkuu kwenye jambo hilo
Hamjajua kiini cha mambo! Hata wakati wa Katiba Mpya wapinzani waliingia kichwa kichwa wakachezeshwa mchakamchaka baadae wakakimbia ukumbi na mechi ikaisha kwa kufungwa mabao 2 kwa 0. Hata hili nina uhakika Mfumo wa CCM utawafunga 2 kwa Zero kwa kuwa mna vichwa maji. Dr. Bashiru wakaonyesha kiduchu lakini badala ya kufikiri zaidi ndiyo kwanza wanamubeza!!
 
ndio maana nadharau sana hizi Phd za Manzese, ni makaratsi tu lakini kichwani hamna kitu kabisa
 
Kwani mnadhani CCM wao wajinga?.
Wanajua fika Kama kutakuwa na tume huru hakuna ushindi,hii inayowabeba kamwe hawawezi ibadilisha labda kizai cha kumi cha wajukuu wetu
 
Hahah hawana majibu nje ya hapo mkuu,wakijitahidi kuongeza jingine utasikia tumejenga vituo 8000 vya afya nchi nzima.

FULL STOP.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivo vituo cjui wanafnya kaz wachaw maana ilibid watu weng waajiriwe uko kwenye vituo 8000 yan tukfny hosptal moja iajir 3 worker ni wafnya kaz 24,000
 
Ok hata ikiwa baada ya miaka 100 siyo issue kinacho ombwa hao vizazi vyetu wafaidi kuishi kwenye nchi inayo heshimu mawazo ya wananchi wake
Kwani mnadhani CCM wao wajinga?.
Wanajua fika Kama kutakuwa na tume huru hakuna ushindi,hii inayowabeba kamwe hawawezi ibadilisha labda kizai cha kumi cha wajukuu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unaanza leo kupata wasiwasi, wengine tulishajua hilo miaka kadhaa iliyopita.
Sikiliza zile pambio zao,, utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na maneno yake kwamba tume haipigi kura.
Sasa namuomba aelekeze serikali ya chama chake iruhusu hiyo tume huru ya uchaguzi ili cc wanachama tuwaonyeshe wapinzani huo ukweli
 
Huyu bwana nilikuwa namheshimu lakini siku hizi kawa hovyo.

Dr. Mzima anajidai haelewi umuhimu wa tume huru ya uchaguzi?!

Ina maana kama timu mbili moja imara na moja dhaifu (Kaman anavyotaka tuchukulie Upinzani) hakuna haja ya refa?!
 
Kuna mchangiaji mmoja kasema kuwa hawa watu wakisha kabidhiwa madaraka ndani ya chama basi sharti lao kuu ni kukabidhi weredi wao kwa wateuzi

Back
Top Bottom