Kama hawataki tume huru kwa hiari ikidaiwa kwa fujo ni kosa?Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa ccm.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawataki tume huru kwa hiari ikidaiwa kwa fujo ni kosa?
Maneno ya kijiweni si ya PhD holder haya
Huwa ninacheka sana ninaposikia Hawa wanaccm wakisema eti ukijenga miundombinu basi ww ndio unapata kura.
😅😅😅😅 we jamaa utakua n great thinker wa majungu ya ukweli kwamba wamejifichia nyuma ya vitu vitatu?Polepole aliwahi kusema CCM tume ikiwa huru ni wepesi sana,ila baada ya kuanza kuendeshwa kwny V8 aisee ukimuuliza swali lolote lile utasikia stigler's,SGR,elimu bure.
Full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tume huru vs Wapiga kura?.Tume ndiyo game decider kwenye nchi nyingi zinazoendelea
Lakini inatangaza mshindi halali au vipi?
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tu nibaki na elimu ya darasa la sababa. Ikiwa PHD holder anaongea uharo kama huu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hawana majibu nje ya hapo mkuu,wakijitahidi kuongeza jingine utasikia tumejenga vituo 8000 vya afya nchi nzima.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we jamaa utakua n great thinker wa majungu ya ukweli kwamba wamejifichia nyuma ya vitu vitatu?
Huyu jamaa sijui anakulaga maharage ya wapi......!!? Mnaomuelewa tusaidieni.Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
View attachment 1310741
Sent using Jamii Forums mobile app