tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Achana wamalize mshindi inategemea mwenyekiti kaamkaje,akiwa amekunywa alkasusa anakata majina tu
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Huyu apewe tuNi haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Katika hili naweka uchama pembeni, apewe tuDuuh, Waziri wa fedha mtarajiwa, kila la kheir
Huyu tunamkubali, aje kuisafisha wizara ya fedha.
heri jimbo wapewe sisiem lakini sio Mbatia,shenzi sana arudi kwenye viti maalumu na kina mama wenzie
Mbatia je?????
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Aliyefufua CRDB ni someone by name RubambeNi haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Anatafuta nini zaidi?
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Watu wenyesifa hizo wanatakiwa chadema siyo ccmNi haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Safi kabisa.. Niliwahi kusema kuliko Mbatia apate Jimbo, mimi nitaacha kazi zangu kwenda kumnadi mgombea mwingine ili kwa gharama yoyote Mbatia aanguke Vunjo.. Ccm sasa wamepata mwakilishi anae uzika.. Mbatia na unafiki wake asubiri viti vya sketi..
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.
Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.
Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.
Mwakeye
Tatizo kubwa si kupata Ubunge bali ni pale atakapoupata tu uwezo wake na akili zake atalazimika kuziacha pale kwenye ofisi ndogo ya ccm Marangu na kuvalishwa zile za kiccm.Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
YapSafi kabisa.. Niliwahi kusema kuliko Mbatia apate Jimbo, mimi nitaacha kazi zangu kwenda kumnadi mgombea mwingine ili kwa gharama yoyote Mbatia aanguke Vunjo.. Ccm sasa wamepata mwakilishi anae uzika.. Mbatia na unafiki wake asubiri viti vya sketi..
Mrema na Mbatia wote wazinguaji hao.Kimenuka Vunjo.
Mrema na huyo jamaa anaeongea anafoka kwisha habari yao.
Huyu tunamkubali, aje kuisafisha wizara ya fedha.
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.