Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Achana wamalize mshindi inategemea mwenyekiti kaamkaje,akiwa amekunywa alkasusa anakata majina tu
 
Atakuwa kavumilia we kaona teuzi haziji isiwe tabu ngoja atafute kiki wajue bado yupo.

Hakuna shaka na uwezo wake wa finance at top level na pengine ndio banker bora kwa Tanzania. Hila sidhani Magufuli anaweza kumtoa Dr Mpango ata Sajid Javid angekuwa mmbunge wa Tanzania.

Iwapo kama awezi pata top post ata akiwa mmbunge kugombea surely inaonekana kama mwenye tamaa kwa mtu ambae amesha fanya kazi mpaka akafika at the top of his proffesion na ku retire kutokana na umri.

Kuna nafasi ukishazishika mpaka umri wa kustaafu inabidi upumzike au usubiri wakuite kama wanakuitaji vinginevyo cheza na wajukuu sio kwamba pension yake inaathiri lifestyle yake, kama ya mwalimu anaepigana na NSSF kila siku.
 
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Huyu apewe tu
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Mbatia je?????
 
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Aliyefufua CRDB ni someone by name Rubambe
 
ahaaaa,,kuna CDM humu washapoteza dira.wanakwambia bora Kimei wa CCM kuliko Mbatia wa ukawa.yani hata wao kwenye chama chao hawana ramani kabisa wamefulia watampa kura Kimei wa CCM.
Jimbo la Vunjo kimei anabeba iwe jua iwe mvua.
 
HUYU NAJUA AKIGOMBEA LAZIMA ASHINDE NA HAPO ATAMPIGA CHINI PROFESSOR MPANGO KWENYE WIZARA YA FEDHA
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Anatafuta nini zaidi?

Jr[emoji769]
 
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Watu wenyesifa hizo wanatakiwa chadema siyo ccm
 
Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade.

Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM.

Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo.
Kila la heri Dokta Kimei.

Mwakeye
Safi kabisa.. Niliwahi kusema kuliko Mbatia apate Jimbo, mimi nitaacha kazi zangu kwenda kumnadi mgombea mwingine ili kwa gharama yoyote Mbatia aanguke Vunjo.. Ccm sasa wamepata mwakilishi anae uzika.. Mbatia na unafiki wake asubiri viti vya sketi..
 
Ni haki yake ya kikatiba kutia nia kugombea .Ni mtanzania aliyeipaisha sana CRDB ilikuwa inakufa kifo cha mende .Alifanya kazi kubwa kuifufua na kuifanya iwe juu mno hadi leo
Yuko vizuri mno kichwani
Tatizo kubwa si kupata Ubunge bali ni pale atakapoupata tu uwezo wake na akili zake atalazimika kuziacha pale kwenye ofisi ndogo ya ccm Marangu na kuvalishwa zile za kiccm.

Kwa maana hiyo hata akishinda tusitarajie mabadiliko.
 
Safi kabisa.. Niliwahi kusema kuliko Mbatia apate Jimbo, mimi nitaacha kazi zangu kwenda kumnadi mgombea mwingine ili kwa gharama yoyote Mbatia aanguke Vunjo.. Ccm sasa wamepata mwakilishi anae uzika.. Mbatia na unafiki wake asubiri viti vya sketi..
Yap
 
Kimenuka Vunjo.
Mrema na huyo jamaa anaeongea anafoka kwisha habari yao.
 
Dr Kimei hagombei ubunge amini nakuambia
Magufuli ampe Kimei/Mchaga uwaziri wa fedha ?Unaota wewe. Ungejua jinsi Dotto anamvyomcontrol waziri wa fedha aliepo wala usingetamani Kimei kuwa waziri wa fedha. Kimei analenga uwaziri ila ni asilimia ndogo sana Kimei kupata uwaziri kwenye serikali ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom