Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Serikali gani haiulizi? Hiihii ya Tanzania au serikali nyingine?

Unapoomba kazi CV yako huoni cha marriage status?
Ajira portal ukijaza hakuna hicho kipengele?
Mbona wana ajiriwa hawaja oa au kuolewa?
Unataka kusema walio ajiriwa wote wameoa na kuolewa?

Yaan wateule wa Rais wenyewe wengine ni bachela, ndio iwe hawa Tichazi, daktari, nesi, etc.
 
Kosa kubwa ambalo wazee na vizazi waliotangulia hawakufanya ni kumsomesha mtoto wa kike. Ni dhahiri walijua kuwa wana udhaifu wa kushindwa kucontrol haiba na tabia zao mara tu wakishapata mafanikio binafsi.

Kizazi cha wanawake wa sasa wanadhihirisha hilo kwa kauli na matendo yao. Wakielimika na kupata kazi au biashara wanaanza kuhoji umuhimu wa mwanaume kwenye maisha yao na umuhimu wa ndoa.
 
Mbona wana ajiriwa hawaja oa au kuolewa?
Unataka kusema walio ajiriwa wote wameoa na kuolewa?

Yaan wateule wa Rais wenyewe wengine ni bachela, ndio iwe hawa Tichazi, daktari, nesi, etc.

Kwa uelewa wako unafikiri kwa nini serikali inataka kujua hali yako ya ndoa kama ni jambo lako binafsi? Hujiongezi
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„

Yoda na cocastic nawaona
 
Kwaio
Kwako mafanikio unaona ni FAMILIA TU
Kwingineko kote ni ujinga

Nani kasema hivi? Au akili yako imetafsiri hivyo?

Hapa duniani baada ya Afya, fanikio linalofuata ni familia.
Hakuna mafanikio yanayozidi uwepo wa familia yako. Hayapo.
Na kama kuna aliyekufundisha kinyume na hivyo mchukie sana. Huyo ndiye mchawi wa maisha yako
 
Legacy namba moja ya mwanadamu au kiumbe ni familia.

Oprah anamafanikio ya kiuchumi na umaarufu lakini huenda hana mafanikio ya kifamilia.
Umeandika kwamba ndoa ni kipimo cha mafanikio, kwahiyo maana yake wake wasio na ndoa eg Oprah Winfrey hawana mafanikio
 
Isaac Newton hakuwahi kuwa na ndoa lakini hadi leo jina lake tunaliskia. Lakini mababu zetu waliozaliwa miaka hiyo ya Newton hata majina yao hatuyajui na ilihali walioa.
 
uongo huo mafanikio hayapimwi na mtu kuwa na ndoa ? au familia mafanikio ya kweli ni mtu kuwa na upendo ni wangap wako na familia au ndoa tunasikia kila day mauaji ...mtu aliyefanikiwa ni yule ambaye anafamilia yenye upendo ndoa yenye upendo anayeish kwa upendo ....full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…