Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Ndoa ni ndoa haipaswi kuwekwa kama mafanikio au kama sio mafanikio.

Tuache simplification kwenye mambo ya msingi, Mfano mtu aliyetoka kwenye familia ya wazazi wanandoa ambao walikuwa abusers, kutokuoa/kuolewa kwake ni mafanikio.

Mtibeli wewe ni mwanafalsafa, unapoandaa bandiko zingatia dhana kadhaa ili usipwaye.
 
Unataka kusema watu kama Padre Kitima na wenzie awana mafanikio kabisa?
 
 
Inawezekana akawa na mafanikio bila ya ndoa, lakini leo anatamani awe na mume sema hawezi kutoka adharani kulionge hilo bali anakufa nalo moyoni
Alikuwa na mtu ila yeye hakutaka kuolewa na huwa analisema hilo kwa uwazi. Angetaka ndoa angeolewa
 
Na wewe unachekesha kwani wewe ni nani hadi umpangie cha kufanya daktari mzima, angalia maisha yako kabla hujaangalia maisha binafsi ya wengine umeandika ukurasa mzima kwa jambo la udaku na lisilokuhusu, punguza ujuaji mkuu pambana na hali yako, nani kakambia mafanikio yanatokana na kuoa au kuolewa?
 
Upo sahihi kabisa.

Na huwezi sema sehemu ambazo hujafanikiwa wewe sio mafanikio.

Fikiria mtu aseme kupata unprofessional sio mafanikio. Imagine mtu huyo wewe utamuonaje?

Au mtu akuambie kumiliki Gari aina fulani sio mafanikio. Wewe utamuonaje?
Aliyeleta uzi ni mdaku na ana matatizo ya akili, ukitaka kumjua soma nyuzi zake, anakuwa kama Kisandu au akina Lucas wa kububujikwa na machozi.
 
Mimi siwezi kuoa huyo mwanamke anayefanana na tairi la trekta. Kwahiyo Dr.Chemical aendelee kujifariji kuishi bila ndoa.
 
Level yako ya Elimu tafadhali.

Maana umeanza kukejeli Elimu ya Chemical kuliko hoja yake.
 
"Nimefanikiwa kufukuzwa nyumbani" - Kuna msukuma alisema hivyo.
 

Unaniambia niache udaku lakini wewe uko hapa unafuatilia udaku.

Nilikuuliza upo hapo Milembe kama nani? Dokta, mfagizi au mgonjwa?
 
Maisha hayapo kwa jumla hivyo mkuu . Kila mtu ana kipaumbele chake.

Mafanikio yanapimwa kwa malengo ya mtu binafsi. Mafanikio yapo ndani ya mipango ya mtu mwenyewe.

Hailingani na mtu mmoja hadi mwingine.
Sio kweli, mafanikio hayapimwi kwa malengo ya mtu. Mafanikio yanapimwa kwa malengo ya jamii. Ubaya au uzuri wa kitu unaamuliwa na jamii. Vilevile mafanikio au kutofanikiwa kunaamuliwa na standard iliyowekwa na jamii wala sio mtu binafsi. Jamii ndio inayoona kuwa kwenye ndoa ni mafanikio. Kama wewe umejiamulia kuishi kama mbwa na kuamua kupanda au kupandwa na kila mtu wakati wa 'heat' na kuzaa na mtu yeyote au kutozaa kabisa bila sababu, hivyo ukaona una enjoy na kuona ni mafanikio, hayo sio mafanikio kwa sababu unaenda kinyume na standard ya jamii, hivyo umepotea na niwakuonewa huruma.
 
Maisha hayapo kwa jumla hivyo mkuu . Kila mtu ana kipaumbele chake.

Mafanikio yanapimwa kwa malengo ya mtu binafsi. Mafanikio yapo ndani ya mipango ya mtu mwenyewe.

Hailingani na mtu mmoja hadi mwingine.
Sio kweli, mafanikio hayapimwi kwa malengo ya mtu. Mafanikio yanapimwa kwa malengo ya jamii. Ubaya au uzuri wa kitu unaamuliwa na jamii. Vilevile mafanikio au kutofanikiwa kunaamuliwa na standard iliyowekwa na jamii wala sio mtu binafsi. Jamii ndio inayoona kuwa kwenye ndoa ni mafanikio. Kama wewe umejiamulia kuishi kama mbwa na kuamua kupanda au kupandwa na kila mtu wakati wa 'heat' na kuzaa na mtu yeyote au kutozaa kabisa bila sababu, hivyo ukaona una enjoy na kuona ni mafanikio, hayo sio mafanikio kwa sababu unaenda kinyume na standard ya jamii, hivyo umepotea na ni wakuonewa huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…