Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Umeandika kwamba ndoa ni kipimo cha mafanikio, kwahiyo maana yake wake wasio na ndoa eg Oprah Winfrey hawana mafanikio
We unamwona Oprah anamafanikio!? Mtu analala peke yake kitandani kama upanga ndio amefanikiwa nini...
 
Kutumia vigezo vya jamii kupima maendeleo kunaweza kukufanya upoteze mwelekeo na kupigana vita visivyo vyako,

Kkila mtu ana ramani yake ya maisha mkuu.

Vitu kama ndoa inataka utayari wa mtu kutoka moyoni sio kufanya ivyo kwasababu jamii inakutaka kuoa. Yanakuja kutokea kama ya kweka.
 
Chemical mhona umekuja kwa hasira ?
 
Wewe tiyari ulishachagua kuwa bwab.wa na kila mtu humu ndani anaelewa msimamo wako. Hili linalozungumziwa hapa sijui kama utalielewa kama lina mantiki
Badala ya kutoa hoja zako kujibu hoja yangu, unakuja na personal attacks,
Km mjadala uko juu ya uwezo wako wa ufahamu, ni bora utulie tu. Kuliko kujidhalilisha km hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…