Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

Siasa za CCM bila unafiki na kujikomba ni ngumu sana.........ili ujiunge CCM lazima akili yako uifungie kabatini na kuwa kapu la fikra za mwenye kiti wako.........ndio maana wengi wao hawawezi kuishi nje ya mifumo hiyo................hata kama ni professor akishakabidhiwa kadi ya CCM automatic anakuwa mjinga Kwa kupigania tumbo......
 
Nchi imejaa mazuzu
 
Ukilitazama hili suala kisiasa unaweza kumuita Chawa Mheshimiwa Ndumbaro lakini ukienda mbali zaidi ni ukweli mtupu.

Marais wote watano wanaume waliomtangulia SSH hawakuwahi kuwa na mafanikio ya kuifikisha timu yoyote ya Taifa ikacheza kombe la dunia mpaka kufikia hatua ya robo fainali kama Serengeti Girls wanavyofanya kule India.

Tunazoea mno lawama na kuwa na negative thinking mpaka tunashindwa kuutazama uhalisia wa mambo kwamba kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inacheza kombe la dunia, wimbo wetu wa taifa kwa mara ya kwanza unaimbwa kabla ya mechi ya mwakilishi wetu katika michuano ya kombe la dunia.

SSH anaweza kuwa na udhaifu wa hapa na pale lakini ni kiongozi mwenye Baraka kwa Tanzania, kwa wasichana wetu kuweza kufika hatua ya kucheza mechi ya robo fainali ya kombe la dunia ni ishara ya uongozi wa Samia kuwa na baraka kwa Taifa.
 
Hata Magu mlimuita Mungu, wengine mkamuita Yesu. Sasa kila jiwe lina mlenga yeye. Shame to you Ccm
 
Huyu andunje naye hamnazo tu kama yule andunje mwenzake aliyetemeshwa usemaji wa mjengoni.
 
Huyu pimbi na jamii yake ndiyo wanafanya vijana wetu wasione thamani ya elimu. Kweli PhD holder anatoa ushuzi kama huu inasikitisha sana
 
Hivi kwa nini Rais anakubali kudhalilishwa namna hii? Kila mtu anajua kwamba huyo Waziri hamaanishi anachosema kwa nini Rais anakubali kufanyiwa hivi?

Hata mtoto mdogo akisikia hayo maneno atacheka na kujua ni danganya toto, sasa kwa nini?
Too low!
Mwenyewe msifiwa anafurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…