ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mno mnoNimecheka sana.
UMASIKINI KITU KIBAYA SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno mnoNimecheka sana.
UMASIKINI KITU KIBAYA SANA
Nchi imejaa mazuzuWaziri wa Sheria, Damas Ndumbaru akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
=======
Damas Ndumbaru: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.
Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.
Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Kutoka kufungiwa kujihusisha na soka maisha hadi kuwa Waziri si mchezo !DAMAS NDUMBARU AMEAMUA KUWA CHAWA WA RAIS KWELI NJAA MBAYA...
Hata Magu mlimuita Mungu, wengine mkamuita Yesu. Sasa kila jiwe lina mlenga yeye. Shame to you CcmWaziri wa Sheria, Damas Ndumbaru akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
=======
Damas Ndumbaru: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.
Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.
Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.
Halafu na mama anawaangalia tu, huu upuuzi ndo unafanya Rais aanze kugeuka muungu mtu matokeo yake inakuwa kama ya Jiwe jitu linasema eti Mhe. Mungu ahahahaha ChummkyoHawa nI Wanafiki , Wana mnafikia Samia Tu 😀
Huyu andunje naye hamnazo tu kama yule andunje mwenzake aliyetemeshwa usemaji wa mjengoni.Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara.
Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda kombe la dunia lazima Rais awe mwanamke kama wanawake walivyoweza kufika robo fainali.
=======
Damas Ndumbaro: Tumepata Rais wa kwanza mwanamke, sidhani kama kuna mafanikio makubwa kama hayo, rai yangu kwa nyinyi wanawake wapigania haki za wanawake, hapa tuliposhika tusiache.
Sisi kule Songea, wangoni tunaimba kwamba ninapotaka mimi ni hapa tu, sisi tunasema tunapotaka sisi ni hapo tu, tumefika.
Kwahiyo sisi wanaume ambao tulikuwa tunavizia vizia hii nafasi ya Urais hebu twende likizo kwanza. Hii shughuli sio yetu, siku hizi ina wenyewe hii, ndio ukweli na mbaya zaidi huyo mwanamke ambae ndio Rais kazi anayofanya hakuna wanaume ambao wanaweza kuifanya.
Chuo cha kuzalisha wapumbavu huko CCM kinapiga kazi kweli kweliUjinga huu hupo kwa watu wa CCM hata Jiwe mlimsifu hivyo hivyo
CCM kumejaa wapumbavu wengi
Huyu pimbi na jamii yake ndiyo wanafanya vijana wetu wasione thamani ya elimu. Kweli PhD holder anatoa ushuzi kama huu inasikitisha sanaNi mmoja wa waliookotwa jalalani msimshangae Sana! Ona aliyekuwa boss wao ambaye anaongoza tume ya katiba, na wale wa makinikia na Kisha huyo na ndalichako wote Wana shida mioyoni mwao! Hawapendi Tena kufanya tafiti zenye kuumiza kichwa Bali kula Kwa kusifia kunatosha!
Mwenyewe msifiwa anafurahiaHivi kwa nini Rais anakubali kudhalilishwa namna hii? Kila mtu anajua kwamba huyo Waziri hamaanishi anachosema kwa nini Rais anakubali kufanyiwa hivi?
Hata mtoto mdogo akisikia hayo maneno atacheka na kujua ni danganya toto, sasa kwa nini?
Too low!
Huyu akapimwe kama ni mwanaume kweli.Sema wewe ndio huwezi, usisemee wanaume wote, Hatujawahi kukuteua uwe msemaji wetu. Inawezekana usingekuwa waziri usingesema hayo.
Ni kweli mkuu nakazia hapo "UTUPU mbaya sana lol!Nimecheka sana.
UMASIKINI KITU KIBAYA SANA
Sahihisho: CCM imejaa mazuzuNchi imejaa mazuzu
Labda mfumo wa chakula"Ni move NZURI,wanamzubaisha Ili wafanye yao ghafula wamuue kwa presha,ndumbaro ni mutu ya mfumo ile,nakumbuka kazi yake pale TFF"