Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Kama ni mambo ya ndani ya chama kwa nini wametangaza ??
Secretary General alikuwa very clear. Mlengwa mkuu wa taarifa ile ni wanachama wa CCM waliosambaa nchini na duniani kote.

Ile ilikuwa njia rahisi na ya haraka kuwahabarisha kinachoendelea ndani ya chama chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…