Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Maalim Seif akiwa Waziri Kiongozi chini ya rais wa Zanzibar Idris Abdul Wakil aliondolewa madarakani kwa njia kama hiyo, lakini Serikali ya Zanzibar iliendelea kumlipa maana ni haki yake.
Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko kwa huyu mzee.
Ila kafuatilie, alianza kulipwa baada ya Maridhiano. Kipindi ana kesi ya uhaini, mke wake alikuwa anachangiwa na raia ili kukidhi mahitaji ya nyumbani.
 
Kingunge na Lowassa hawakufukuzwa. Walihama wenyewe.
 
Huyo Mtikila hata ubunge alishindwa kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…