Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

💯

Kwenye hili kwa kweli wapambane na hali zao.

Wengine wanaodhani ni michezo hakuna michezo hapo ni waroho wa madaraka wanawahiana.

Walichokifanya kwa hayati, kinasababisha wakae mguu sawa muda wote, wafu wazikane sisi tunywe bia.
Tuliookoka tunywe juisi ya Matunda😀
 
Bakizeni rohoyake tu hilo halinashids
 
Walitakiwa walione hili kabla hawajawa wanachama wa CCM. Ni suala ambalo lilikuwa linatabirika vizuri tu kwamba kuna wakati mabavu yatashika hatamu!
 
tunaomba moja aliyopingana nayo. Mambo kwa ushahidi.
Kazi yake kwa mujibu wa Katiba ni msaidizi wa Rais. Atafanya yale tu anayotumwa na Rais, haruhusiwi kupingana wala kubishana na Rais. Alipaswa kujiuzulu kimyakimya bila kwenda hadharani kuwachochea wananchi dhidi ya Rais wao kuwa Rais anakwamisha hiki, tumeongea vile na hivi lakini hataki kutekeleza. Amemsagia kunguni boss wake
Wana akili sana, na ndio maana huwa mambo yakiwaendea vibaya huwa wanapiga U turn
kumchinja kobe ni timing
 
Watajijua, haituhusu sisi.CCM wanavyotuchukulia watanzania, wanaweza weka hata jiwe na likapita.
Mambo ya harakaharaka yanoyohusu vyeo vyao wako fast, lkn mambo ya msingi kama katiba, hawaoni
Kuna shida kubwa sana mahali. Kuteuana is OK, lkn kukomesha kutekana NO.
 
IWE itavyokua CCM hamna Maadili,Hamna Heshima,Hamna ADABU

Alieweza kumpa jeuri yule ***** ndani ya BUNGE na KUSEMA YUDA YUDA YUDA ni nani?

Unamwita YUDA mtu ambae ni MAKAMU WA RAIS ndani ya BUNGE unasema kuna Maadili CCM?

Wabunge wote Kimya,Hamna aliefyetuka hata MDOMO eti leo NCHIMBI kamati ya maadili imemvua uanachama...kummmmmmyooooo zenu

Nani aliekosa Maadili kati ya CCM na NCHIMBI???? Anae iongoza CCM,Waliopo kwenye hiyo kamati na wangine wote ni ma upinde ya mvua

Kila gazeti linamwita MAKAMU WA RAIS yuda hivi ni heshima hiyo? haijaanzia hapo hizi dharau mpk kufika hapo inaonyesha kuna MENGI NCHIMBI kapitia umo ndani,sijui hata u makamu aliukubali wa nini maana hata nikipiga hesabu za haraka Sioni ni lini aliufurahia hata au alikaa ofisini kama Mtumishi kweli.

Kama kuna Mtu ccm wanapaswa wamuombe MSAMAHA ni NCHIMBI na hili la nchimbi halitoenda Bure MUNGU analiona na atalilipa AIBU ya CCM inakuja kubwa kuliko zote hiii ni aibu na MUNGU karuhusu ili muumbuke vizuri.

Nchi inaongozwa na Mateja
Nchi inaongozwa na kikundi cha watu
Nchi inaongozwa na mijitu ya hovyo

2030 ikifika huyu mama akiwa Rais ...nipo Pale nimekaaaa mniite mbwaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…