digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kila la kheli rais wangu mpendwa,jpm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi nzima hakuna wa kufanya kaziNi kweli kabisa tunampa 5 tena!
Siku akiondoka atakuwa na majonzi mazito maana hatoamini kama ndo anang'atuka.Kwa hiyo na hiyo mitano anayo omba ikiisha tena hajakamilisha mambo yake aombe tena mingine si ndio hivyo?
Magufuli acha kujiona kwamba bila wewe hii nchi si kitu, hii nchi umeikuta na shida na raha zake na utaondoka utaiacha na shida na raha zake vilevile.
"Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP
#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059
kama anakubalika uoga wa nn hadi kudukua mawasiliano ya wenzake. fomu yenyewe imeprintiwa moja tuNi kweli kabisa tunampa 5 tena!
Kuna watu wanachukia kweli rais Magufuli anavyofanya kazi. Kila siku wanatamani afeli kwenye kila jambo lakini ndio hivyo tena😁😁😁Anafanya kazi huyu mzee. Tumpe tu sifa anazostahili.
Ana nia ya dhati.
Contradiction of the century. Tumefanya mipango mingi. Bado mingine hatujaikamilisha. Ni mipango tu na si utekelezaji. Na ni ya watu wengi katika kuibua hiyo mipango. Balaa likaanza licha ya Kiswahili kibovu."Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP
#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059