Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

FBF4BF3B-51DE-4AF7-826B-CB9348D2D53E.jpeg
 
Kwa hiyo na hiyo mitano anayo omba ikiisha tena hajakamilisha mambo yake aombe tena mingine si ndio hivyo?

Magufuli acha kujiona kwamba bila wewe hii nchi si kitu, hii nchi umeikuta na shida na raha zake na utaondoka utaiacha na shida na raha zake vilevile.
 
Siku akiondoka atakuwa na majonzi mazito maana hatoamini kama ndo anang'atuka.
 
"Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP

#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059

Ni maneno gani haya ya kujimwambafai!!!--- yaani hakuna mwingine atakaye tokea wa kuweza kukamilisha mambo aliyoyaanza??!!-- anao uhakika gani kwamba atashinda na atakuwa raisi tena na akishinda anao uhakika gani kama atakamilisha miradi aliyoianzisha???.

"Hakutaka kuwa mbinafsi kwani sio yeye pekee anayeweza kuongoza"--- mbona Membe wamemfukuza chama kwasababu tu alitaka kuchukua form apambane na Magu, mbona Magu hajamtetea Membe kama yeye sio mbinafsi??!!.

Huku anasema hamuoni atakayeweza kukamilisha miradi aliyoianzisha huku anasema yeye sio mbinafsi wapo wengine wanaoweza kuongoza!!!-- what a contradictory statement!!!.

Mungu ibariki Tz na watu wake.
 
Magufuli wewe x 2
Piga kazi wewe x 2

☝️Nyimbo tu ya UVCCM nimeisikia leo kwa mara ya kwanza
 
"Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP

#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059
Contradiction of the century. Tumefanya mipango mingi. Bado mingine hatujaikamilisha. Ni mipango tu na si utekelezaji. Na ni ya watu wengi katika kuibua hiyo mipango. Balaa likaanza licha ya Kiswahili kibovu.

Siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha. Walioibuni ni wengi lakini wa kuikamilisha ni yeye tu. Sikutaka kuwa mbinafsi. Siyo mimi tu nastahili kuongoza.

Kwa kuchukua fomu anakuwa mbinafsi na kuonyesha kuwa ni yeye tu anastahili kuongoza( soma kutawala). Hapa ni paranoid au schizophrenia! Tunalo, I cry my beloved Tanzania. What has befallen you?
 
Umeongea vizuri sana ila kuwa mkweli basi na uwe na hofu ya Mungu wa ukweli, utueleze unachofahamu kuhusu hawa watu: Beny Saanane na Azory Gwanda.

Pia useme kuhusu sakata lililompata Tundu Lissu kwani haya madaraka japo yanalevya sana lkn yana mwisho hata akina Nkurunziza na Mutharika wameshayaacha na wewe uko njiani kuyaacha.

Jaribu kuwatendea watu wako haki na uache kuwanyanyasa kwa kisingizio cha wale ni wapinzani. Baada ya huo mnaouita uchaguzi kupita na mkishafanya figusu kamwe wazungu hawatawaacha, ona leo Mnangagwa anavyolia kama kandama kalikofiwa na mamaye. Shauri yako utaona mwenyewe.
 
Back
Top Bottom