kwanza sheria hairuhusu muwekezaji kumiliki 51%,wewe umeitoa wapi?kuwa na wewe muongo,tapeli ili utoboe mkuu kama ni rahisi
si kwa sababu logic yake ni ndogo,na hata hicho kipindi ukute alikinunuaHivi ukiwa kwenye interview au mahojiano kama Yale ni lazima Kila unachoulizwa ujibu!?Kuna point ndogo sana aliikosa kigwangala kwenye Yale mahojiano PAUSE kama angepause kidogo angegundua hiyo Hoja ilishapita mda mrefu sana
Angemwambia mwandishi Hilo tuachane nalo
Kigwa ana hasira tangu mkopo utoke khaaas......Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
Source Star tv Medani za Siasa
Mwambie apake wanja mweusi ule mdomo wake.Au hata mkaa.Mdomo umebabuka utadhani anatokea misitu ya Virunga!Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
Source Star tv Medani za Siasa
🤣🤣Bora aliacha udaktari, kwa jinsi anavyoupepeta angetoa Siri za wagonjwa
Unaweza kukuta ndio huyu anayekopakopa kwenye Benki 5
Nani Mo?Mwambie apake wanja mweusi ule mdomo wake.Au hata mkaa.Mdomo umebabuka utadhani anatokea misitu ya Virunga!
Daktari!!Maskini! MO atakuwa ameumia sana kumpoteza rafiki kama Kigwangala
kuwa na wewe muongo,tapeli ili utoboe mkuu kama ni rahisi
Itakuwa anavuta bangi au mlevi wa pombe kali sanaMwambie apake wanja mweusi ule mdomo wake.Au hata mkaa.Mdomo umebabuka utadhani anatokea misitu ya Virunga!
KhaaaaHuyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Angalia vizuri kutoka usawa wa Nzega au Ndala mission!Nani Mo?