Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Acha uzwazwa. Utajiri sio ishara ya akili. Kunyume chake watu wenye akili nyingi hawapendi utajiri. Theft want basics na wanadeal with other existential matters kama ubobezi ktk fani, ugunduzi etc. Sio kila mtu anatamsni kuwa kama Mo financially including Mimi. Najua pesa ni muhimu ila ikiwa nyingi crisis za kimaisha zinaanza. And I ding want that.
 
Huyu Kigwangalla analialia kama changudoa aliyekosa Mwanaume pale Corner Bar. REAL men don't write such personal gossips.

Aende kwa Mo Dewji akam face one on one.
 
Tatizo lako ujinga.Aliyekataa ni nani?Kwa mujibu wa Hamisi Mo Dewji sasa tuambie huyo mwingine?
 
Kigwangwala Mzee wa kutoa wanao kafara ili upate uwaziri Mo anapungukiwa nini ukimpuuza?
 
Kwani Mo aliwahi kumtaka Kigwa wawe marafiki?
 
Kweli lakini. Kigwangala ana nongwa ya kukosa uwaziri. Ila alichosema kwa MO ni kweli.
Ukishafikia kwenye level ya uwaziri, hutakiwi tena kuwa unalumbana na wanachi wako wa kawaida kwa jinsi hii, hasa wale ambao si wanansiasa. Hapa hekima inaonyesha kugogolobanya kidogo
 
Kumbuka yeye MO ni kivuli, Mtendaji ni baba yake ujue na yupo hai
 
Hayo ni matango Pori . Baba yake MO ndiyo decision maker, ref issue ya magunia ya korosho wakati wa JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…