Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Huyo hk kama anauwezo mkubwa wa kufikiri ni wakati sasa nayeye awe na uwezo wa kiuchumi kama Mo
Acha uzwazwa. Utajiri sio ishara ya akili. Kunyume chake watu wenye akili nyingi hawapendi utajiri. Theft want basics na wanadeal with other existential matters kama ubobezi ktk fani, ugunduzi etc. Sio kila mtu anatamsni kuwa kama Mo financially including Mimi. Najua pesa ni muhimu ila ikiwa nyingi crisis za kimaisha zinaanza. And I ding want that.
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

Source Star tv Medani za Siasa
Huyu Kigwangalla analialia kama changudoa aliyekosa Mwanaume pale Corner Bar. REAL men don't write such personal gossips.

Aende kwa Mo Dewji akam face one on one.
 
Kuna tofauti Kati ya kurithi na kusimamia Biashara ya familia

Kwa mfano Shabiby alirithi mabasi mawili na gereji lakini leo ana mabasi 100 na zaidi na vituo kibao Vya Mafuta

Mo anasimamia mali za Mohamed Enterprise yani humo ndani kuna mtu kibao

Hata zile tukutuku za Mkopo kwa Kigwangalla aliyekataa ni mwanafamilia mwingine kabisa siyo Mo huyu wa Makolo
Tatizo lako ujinga.Aliyekataa ni nani?Kwa mujibu wa Hamisi Mo Dewji sasa tuambie huyo mwingine?
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

View attachment 2589854

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Kigwangwala Mzee wa kutoa wanao kafara ili upate uwaziri Mo anapungukiwa nini ukimpuuza?
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

View attachment 2589854

Chanzo: Star tv Medani za Siasa
Kwani Mo aliwahi kumtaka Kigwa wawe marafiki?
 
Kweli lakini. Kigwangala ana nongwa ya kukosa uwaziri. Ila alichosema kwa MO ni kweli.
Ukishafikia kwenye level ya uwaziri, hutakiwi tena kuwa unalumbana na wanachi wako wa kawaida kwa jinsi hii, hasa wale ambao si wanansiasa. Hapa hekima inaonyesha kugogolobanya kidogo
 
Anzie hapo,kisha jipige kifua,kama una vyako kwa ajili ya kizazi chako kama ulivyosema basi kizazi chako kikiwa na akili yaku multiply kilicho achwa nawe ni akili kubwa sana ,na hapo ndipo kwenye hoja ,,but nazungumzia mali zinazoishi na sio hizo ambazo depleciation huongezeka kila uchwao,stating something in an opposite way it doesn't mean that you count some body as an ordinary.
Kumbuka yeye MO ni kivuli, Mtendaji ni baba yake ujue na yupo hai
 
Unakosea sana kutesti kunywa K-Vant wewe Mzee. Saizi yako wewe ni Johnie Walker. 😂 😂 😂 😂

Mo ni Mkurugenzi wa Kampuni ya familia yao na yeye ndiye "Decision Maker" na mwenye "Final Say" kwa sasa. Kama unamsifia Shabiby na Gereji aliyoachiwa, unashindwaje kumsifu Mo kwa biashara aliyoachiwa na kuiendeleza?

Kiukwasi Mo na Shabiby nani ana ukwasi mkubwa??
Hayo ni matango Pori . Baba yake MO ndiyo decision maker, ref issue ya magunia ya korosho wakati wa JPM
 
Back
Top Bottom