Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!


Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa.

Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama Jabir katika kipindi cha Salama leo.

Chanzo: Eatv.

Maendeleo hayana vyama!
Dalili mpya za kukimbia atmosifia ya joto mingi
 
Najua hatosahau kutueleza kilichomuua Dk. Omar Ally Juma na uhusiano wake na Rostam Aziz kuhusu like briefcase jeusi pale hoteli ya Kilimanjaro.

Na pia atatuambia kwa nini alishindwa kutamka jina la Dk. Alli Mohhamed Shein kwa mara ya kwanza hadi RA alipomtambulisha kwake bila kusahau lile shimo la tanzanite maarufu kama "Shimo la Mwarabu" pale Mererani sasa analichimba nani baada ya ya mzungu wa SA kufurushwa?
Kwasababu amesema ataongea mpaka yale ambayo hatuyafahamu, wacha tusubirie. Akisahau tutamkumbusha
 
Huwa hawaandiki mambo ya ukweli wa ndani, sana sana hurudia yale yale na tusiyoyajua yasiyo na tija yoyote.

amesema ataandika mambo aliyokua abayasikia wakati akiwa zanzibar kama mtumishi wa CCm ambayo yana usiri
 
hawezi kusema kila kitu kama watu wanavotaka kwa mfano jana hakusema kwamba aliachana na mkewe wa kwanza akasema alikua single father
 
Mi nasubiria jiwe aandike, cha JK najua kitakua na historia inayovutia kusoma, cha jiwe sasa, unaweza ukasoma huku unalamba ndimu

[emoji1665]kabula [emoji1787] he will surely express his profound interests for white women
 
Nashangaa wengi wakiandika hawakai sn sijui kwanini?

Wanaandika wakiwa afya zao zina mgogoro sio suala la umri; Barack Obama ameandika na bado anaandika vitabu na hana dalili ya kuondoka siku za usoni kwasababu ya kuandika hivyo vitabu!! Carter, Clinton, Walker Bush na wengine wengi wameandika vitabu na bado wapo!!

Je Alhaj Mwinyi yupo nasi kwa muda mrefu kwasababu hajaandika kitabu?
 
Wanaandika wakiwa afya zao zina mgogoro sio suala la umri; Barack Obama ameandika na bado anaandika vitabu na hana dalili ya kuondoka siku za usoni kwasababu ya kuandika hivyo vitabu!! Carter, Clinton, Walker Bush na wengine wengi wameandika vitabu na bado wapo!!

Je Alhaj Mwinyi yupo nasi kwa muda mrefu kwasababu hajaandika kitabu?

umesema kweli nkapa lazima alijua anaondoka ndio maana hata kafia zake kwenye sofa
 
Asisahau kutuambia alikuwa anawahonga nini wapinzani kipindi kile alivyokuwa anawaita Ikulu.
 
Huyu mkwere anap
Hata Reginald Mengi ilikua hivyo hivyo😥😥
Huyu mkwere anapaswa ajifunze kwa mzee Mwinyi ili afikie uzee mwema, mwambieni aache kiherehere atulie mambo ya kuandika historia awaachie kina Mkapa na Mengi
 
Usishangae hayo tusiyoyajua, tukaelezwa jinsi walivyokutana na Mama Salma..
 
Asubiri visasi kwanza ipite, ili awe guru kwelikweli.
Akikitoa sasa atakuwa Hana bahati
Pls haijalishi Bei ntauza hata shamba nikinunue
Nakipenda sana hiki kijamaa
 
Njia Mpya Ya Kutubu Madhambi!

Rejea Kwa Benjamin!!

Lakin Bado Tunamsubili Jiwe sijui itakuaje uw!!!!!
 
Back
Top Bottom