mimi nilisikia kama uraya vile!.Magufuli leo akidanganyana na wanaccm wenzake anasema anataka kuifanya Tanzania ifanane na ulaya,hivi jamaa huyu anajua nchi gani huko ulaya na je anafahamu kuwa mabeberu ndo wanaishi huko ulaya?Je mtu ambaye hawatakia mabeberu Ila Mambo yao anayataka na kuyatamani huko kwenu mnamuitaje? Je ukiwa na akili timamu unaweza kushangilia Magu akisema anataka kuifanya Tanzania kuwa Kama ulaya wakati in five good years ameongeza only USD 100.00kwenye GNI
Poor argument from a poor mind.Ni kwa win win situation! Hapo mwanzo sisi tulikuwa tunapata 1% wao 99% wanaondoka nayo. Sasa sisi tunabaki na 66% na wao wanaondoka na 36%. Akina Lissu na wenzake wanataka kuturudisha kule kwa 1% au 0%!
Kwahiyo unajua nakula nini tangu kipindi hicho? Mbona vitu vingine siyo vya kuviingilia kama unavyotaka?graduate bado hujajua cha kufanya?, kama ulikwama toka 2015 unategemea utatoboa muda huu ?
Kwani wewe mpendwa vision yako ni kuwa kama nani?Mnataka Tanzania iwe kama Ulaya,at the same hamuwapendi mabeberu.
Toke lini unataka kuwa kama mtu usiempenda ?
Yaani wanasiasa wa Tanzania ni ngumu kuwaelewa wanataka nini ?
Kwani wewe mpendwa vision yako ni kuwa kama nani?
Nadhani unajua maana ya vision. Hapa tunazungumzia maendeleo ya nchi. Na maendeleo hayana kikomo wala chama. Hizo nchi za ulaya zimeendelea sana kuliko sisi na zinaendelea kuendelea zaidi. Ndiyo maana mswahili akiona kitu kizuri husema "ni kama cha ulaya". Nchi zao zinapendeza, hivyo vision yetu ni kuyafika kiwango cha maendeleo kama hicho cha nchi za ulaya zilizofikia. Kazi ya viongozi wa kisiasa ni kuwezesha maendeleo ya nchi zao.
Mbinu walizotumia nchi za ulaya kufikia maendeleo hayo ni kupora maliasiri za Afrika na za mabara mengine duniani. Na hawajaacha kuendelea kuyapora. Huwa wanabadilisha tu mbinu za kuyapora. Walianza kwa kuya colonize. Sasa wameya neocolonize. Vitendo hivyo ndivyo tunaviita vya kibeberu. Ndiyo maana tunawaita mabeberu. Wanapora mali zetu kwa mbinubali mbali kwenda kuendeleza nchi zao. Hawaachi kufanya hivyo kwani kwao maliasiri walishazimaliza zamani. Hushirikiana na wazawa wasiokuwa wazalendo kama akina Lissu na Zitto kutekeleza uporaji huo wa mali zetu. Hushirikiana na vyama vya upinzani vizivyokuwa na uzalendo kupora mali zetu. Hivyo vision (dira) ya vyama hivi huwa ni kuwezesha mabeberu hawa waendelee kutupora. Wanaweza hata wakasababisha tupigane wenyewe kwa wenyewe ili kupata viongozi watakaoshirikiana nao kupora mali hizi. Uchaguzi mkuu kama huu kwao huwa fursa muhimu kupandikiza washirika wao. Tunabidi kuwa makini.
Tulia basi mbona unapaniki?Wekeni mapingamizi hata 100 kwani nani kawazuia??
Ndio kwaaaaanza Dr Kutoka Belgium anapima Dawa kwenye Bomba la SindanoMzee tulia dawa ianze kusambaa mwilini!
Ulaya waliendelea kabla hata hawaja Africa.Kwani wewe mpendwa vision yako ni kuwa kama nani?
Nadhani unajua maana ya vision. Hapa tunazungumzia maendeleo ya nchi. Na maendeleo hayana kikomo wala chama. Hizo nchi za ulaya zimeendelea sana kuliko sisi na zinaendelea kuendelea zaidi. Ndiyo maana mswahili akiona kitu kizuri husema "ni kama cha ulaya". Nchi zao zinapendeza, hivyo vision yetu ni kuyafika kiwango cha maendeleo kama hicho cha nchi za ulaya zilizofikia. Kazi ya viongozi wa kisiasa ni kuwezesha maendeleo ya nchi zao.
Mbinu walizotumia nchi za ulaya kufikia maendeleo hayo ni kupora maliasiri za Afrika na za mabara mengine duniani. Na hawajaacha kuendelea kuyapora. Huwa wanabadilisha tu mbinu za kuyapora. Walianza kwa kuya colonize. Sasa wameya neocolonize. Vitendo hivyo ndivyo tunaviita vya kibeberu. Ndiyo maana tunawaita mabeberu. Wanapora mali zetu kwa mbinubali mbali kwenda kuendeleza nchi zao. Hawaachi kufanya hivyo kwani kwao maliasiri walishazimaliza zamani. Hushirikiana na wazawa wasiokuwa wazalendo kama akina Lissu na Zitto kutekeleza uporaji huo wa mali zetu. Hushirikiana na vyama vya upinzani vizivyokuwa na uzalendo kupora mali zetu. Hivyo vision (dira) ya vyama hivi huwa ni kuwezesha mabeberu hawa waendelee kutupora. Wanaweza hata wakasababisha tupigane wenyewe kwa wenyewe ili kupata viongozi watakaoshirikiana nao kupora mali hizi. Uchaguzi mkuu kama huu kwao huwa fursa muhimu kupandikiza washirika wao. Tunabidi kuwa makini.
Kwani kampeni zimeanza mzee, tulia.Hivi mbona hakuna mgombea anayesema atatuokoaje graduates tuliokwama kuanzia pale 2015?
.
Tena ni mingi sanaMitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
Wanaogopa kujazwa mimb..Wale mabeberu wa Barrick mbona waliwapokea wakakaa nao ndani walipotoka nje waliwaita wanaume.
Lazima ina matatizo ya akili. Siyo bure. Sisi bado sana, hatuna uwezo wa kushindana nao.Nani kakwambia tunahitaji misaada yao hiyo yenye masharti ya hovyo? Hiyo ilikuwa zamani tulipokuwa nchi masikini. Sisi si nchi masikini tena. Ni middle income country sawa na Afrika kusini, Nigeria na India. Tukitaka pesa tunakopa kwenye taasisi ye yote ya kifedha kwa riba ya kibiashara maana uwezo wa kurudisha mikopo tunao.
basi sawaHatuwataki mabeberu. Wapinzani wa aina ya Lissu na Zitto wamekuwa na watakuwa wanashirikiana na mabeberu kutuibia.
Yaani mpaka nimemshangaa. Tangu tupate Uhuru ni CCM pekee ndo imetawala.Sasa kina Zitto na LissuWewe ni mbumbumbu mm
Halafu wanajiona wana akili kutuzidi. Tanzania iwe kama ulaya kwa miaka mitano ?Kama walishindwa kwa miaka 50+.Tatizo wanavuta sana bangi kabla hawajaja kuongea kwenye majukwaa ya kisiasa, wengine nati huwa zimelegea vichwani
Mkuu maono bila matumizi ya akili and good strategies ni Sasa tu na ndoto ya mchana au hisia za vijana wakishapata Cha Arusha,yaani mtu anayetekekeza budget zake zote kwa wastani wa below 50%unawezaje kusema maneno yake ni maono badala ya kelele?mtu anayeua makert systems za mazao yanayolipatia taifa pesa,mtu anayeua sector binafsi ambayo ndo engine ya uchumi unaanzaje kusema maneno yake ni maono?Ni mawazo mabovu kupinga visions za mtu. Mtu ana maono ya kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya, na Ulaya imekuwa vile kutokana na wazee wao kujitoa mhanga, kufanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu wakati mwingine wakijitoa maisha yao kwenda kutafuta makoloni nje ya Ulaya. Leo hii watoto na wajukuu na vitukuu vyao vinavuna matunda ya jitihada za mababu zao.
Usidhani wazungu wanawaponda viongozi wao wenye maono ya kuifanya Ulaya izidi kuwa Ulaya kwa kigezo cha demokarsia. Ndani ya Magufuli tuna kiongozi aliyerejesha pride ya mtanzania. Watanzania kwa fikra za kujiamini, kufanya kazi kwa malengo, na kwa uaminifu wa kitaifa na uzalendo tunaweza kujiletea maendeleo na nchi inaweza kupiga hatua zenye mwelekeo sahihi wa maendeleo.
Nipe kiongozi kama Magufuli anayeamini kuwa Tanzania inaweza kuwa kama Ulaya, kuliko unipe kiongozi mwingine yeyote mwenye fikra za kitumwa kuendekeza ukoloni mamboleo.
Kwa kauli hiyo Magufuli ametudharau sana.Yaani mpaka nimemshangaa. Tangu tupate Uhuru ni CCM pekee ndo imetawala.Sasa kina Zitto na Lissu
Halafu wanajiona wana akili kutuzidi. Tanzania iwe kama ulaya kwa miaka mitano ?Kama walishindwa kwa miaka 50+.