Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kitandani sogeleaneni kabisa CORONA hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazungumzia ajira?
Duh! Sasa miaka mitano iliyopita mbona kashindwa. Au amekopi na kupesti kampeni ya 2015.Ndio. Atajenga viwanda vingi ili viajiri Vijana wengi wasio na ajira.
Hata kama zikitoka viongozi watazilamba tu. Baada ya hapo wanawajaza kwenye mabasi na kuwarudisha vyuoni Mipango, Hombolo na UDOM.Au wamepewa book tano tano nini ?
Na hakuna aliyezima mic.Ila Magufuli aisee
Kwamba amejenga hospitali hadi walevi walilala humo[emoji23][emoji23]
Leo anazindua kqmpeni?Imagine
Mwenyekiti leo anatoa hotuba ya kuzindua campeni lakini imepoa sana. Yaani ni sawa na mboga isiyokuwa na chunvi. Yaani hotuba haina ladha.
Tunajua Lissu utaleta kile ambacho masikio na macho yetu vinataka.
Mwenyekiti wa ccm, macho na sauti havionyeshi uhalisia hata kidogo. yaani imepwaya sana.
Ni kweli anagombea uongozi kupitia vyombo vya dola
Lissu njoo, utuambie sisi wanyonge ambao tumetengenezewa umasikini kwa miaka mitano hakuna mshahara wa baba yake.
Hotuba yake imepoaaaaaa!
[emoji2][emoji23][emoji23]Na hakuna aliyezima mic.
'Nilipomaliza kuchukuwa fomu pale kwenye jengo la NEC pamoja na Mama Samia, Mama mchapa kazi, jabali la kwelikweli, nilipokuwa nateremka kwenye gari nikiwa pale juu nikakiangalia Chuo Kikuu cha Dodoma, nikaangalia chini nyumba na maghorofa yalivyojengwa katika eneo hili la Dodoma, nikajaribu kutupa macho yangu mpaka Chuo cha Mipango kule. Nikaangalia kila mahali. Hujagusa Chuo Kikuu cha St. John, unaenda pale CBE na maeneo mengine. Hombolo sijakisahau jirani yetu kule.'Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee....aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?Hata kama zikitoka viongozi watazilamba tu. Baada ya hapo wanawajaza kwenye mabasi na kuwarudisha vyuoni Mipango, Hombolo na UDOM.
Hahah daah anaweza kukana kama alisema kitu kama hicho mkuu.Si alisema hii kazi ni ngumu sana ilibidi apumzike
Hukumsikiliza Magufuli kuhusu ajira?,ameliongelea namna ya kutengeneza ajira nchini ,fuatilia maelezo yake yote,utaelewa kwa nini mwanafunzi huyo hakuongelea ajira kwa sababu maelezo yalikwisha tolewaKuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
'Yesu Kristo alipendwa na wengi'Yesu Kristo alipendwa na wengi lakin hawakukosekana waliomchukia, Adolph Hitler pamoja na mabaya yake tunayosimuliwa lakin bado kuna waliokuwa wanampenda sana, hata wewe hapo kutoka ktk jamii inayokuzunguka na ukoo wako pia wapo wanaokupenda na wasiokupenda pia wapo, hata watoto wako (kama unao) sio ajabu kukuta wapo wanaokupenda na wanaokuchukia.
Huyu bwana mkubwa aliyetoka kutibiwa juzi pamoja na kupambwa kwa mambo meeeeeengi, lakin wapo wanaompenda sana lakin hauwezi kupinga kwamba hakuna wanaomchukia tena sio ajabu hata alionao humo humo kwenye chama chake, halikadhalika kwa huyo mnaemuita jiwe, kuna watu huwaambii kitu kumuhusu huyo mzee wana mahaba nae ya dhati lakin wengine wanamchukia hadi wanaombea kwenye utawala wake nchi ipate majanga mazito yatakayopelekea vifo vya watu wengi, na ktk hao wengi watakaokufa nae afe
😂 msimu huu wanavyuo bumu lao limefyekwa balaa yaani wanatamani uchaguzi uwe hata kesho ili wamfyeke yeye. Ila kwa kweli hali ya kitaani ilivyo maumivu yake ni zaidi ya kuliwa bumu.Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
Na hajui hlo bumu analotaka aongezewe litamtesa kwenye maisha yake ya ajira, asipoangalia anaweza kulipa maisha yake yote...Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?