Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

Imagine
Mwenyekiti leo anatoa hotuba ya kuzindua campeni lakini imepoa sana. Yaani ni sawa na mboga isiyokuwa na chunvi. Yaani hotuba haina ladha.

Tunajua Lissu utaleta kile ambacho masikio na macho yetu vinataka.

Mwenyekiti wa ccm, macho na sauti havionyeshi uhalisia hata kidogo. yaani imepwaya sana.

Ni kweli anagombea uongozi kupitia vyombo vya dola

Lissu njoo, utuambie sisi wanyonge ambao tumetengenezewa umasikini kwa miaka mitano hakuna mshahara wa baba yake.

Hotuba yake imepoaaaaaa!
 
Tuko pamoja Dr.

Acha kazi iendelee.
 
Bwashee vya mjinga huliwa na mwerevu

Akina Mrema na Cheyo na wengineo wapo huko kimwili..

Lakini si kiroho safi
 
Imagine
Mwenyekiti leo anatoa hotuba ya kuzindua campeni lakini imepoa sana. Yaani ni sawa na mboga isiyokuwa na chunvi. Yaani hotuba haina ladha.

Tunajua Lissu utaleta kile ambacho masikio na macho yetu vinataka.

Mwenyekiti wa ccm, macho na sauti havionyeshi uhalisia hata kidogo. yaani imepwaya sana.

Ni kweli anagombea uongozi kupitia vyombo vya dola

Lissu njoo, utuambie sisi wanyonge ambao tumetengenezewa umasikini kwa miaka mitano hakuna mshahara wa baba yake.

Hotuba yake imepoaaaaaa!
Leo anazindua kqmpeni?

Aisee kumbe hawa washabiki wa Lisu kichwni ni ziro kabisa?
 
Atakavyoongea aongelee jinsi ya kuwakomboa wananchi na umasikini. Jinsi ya kuboresha maslahi ya watumishi, mikopo vyuo vikuu, ajira nk. Miundo mbinu tupa kulee....aje na hoja ya maisha ya mtanzania anayekula mlo mmoja
'Nilipomaliza kuchukuwa fomu pale kwenye jengo la NEC pamoja na Mama Samia, Mama mchapa kazi, jabali la kwelikweli, nilipokuwa nateremka kwenye gari nikiwa pale juu nikakiangalia Chuo Kikuu cha Dodoma, nikaangalia chini nyumba na maghorofa yalivyojengwa katika eneo hili la Dodoma, nikajaribu kutupa macho yangu mpaka Chuo cha Mipango kule. Nikaangalia kila mahali. Hujagusa Chuo Kikuu cha St. John, unaenda pale CBE na maeneo mengine. Hombolo sijakisahau jirani yetu kule.'

'Kwa kumbukumbu zangu tu, shule zaidi ya 908 za msingi zimejengwa katika nchi hii. Hizo ni za msingi. Za sekondari ni 228, vituo vya afya karibu 500. Mambo mengi.'

Angalia hapo juu mkuu,Masaa yeye 24 hua anawaza ujenzi tu mambo mengine hua anaona hayamhusu kabisaa.

Kazi ipo.
 
Hata kama zikitoka viongozi watazilamba tu. Baada ya hapo wanawajaza kwenye mabasi na kuwarudisha vyuoni Mipango, Hombolo na UDOM.
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
 
Hukumsikiliza Magufuli kuhusu ajira?,ameliongelea namna ya kutengeneza ajira nchini ,fuatilia maelezo yake yote,utaelewa kwa nini mwanafunzi huyo hakuongelea ajira kwa sababu maelezo yalikwisha tolewa
 
Yesu Kristo alipendwa na wengi lakin hawakukosekana waliomchukia, Adolph Hitler pamoja na mabaya yake tunayosimuliwa lakin bado kuna waliokuwa wanampenda sana, hata wewe hapo kutoka ktk jamii inayokuzunguka na ukoo wako pia wapo wanaokupenda na wasiokupenda pia wapo, hata watoto wako (kama unao) sio ajabu kukuta wapo wanaokupenda na wanaokuchukia.

Huyu bwana mkubwa aliyetoka kutibiwa juzi pamoja na kupambwa kwa mambo meeeeeengi, lakin wapo wanaompenda sana lakin hauwezi kupinga kwamba hakuna wanaomchukia tena sio ajabu hata alionao humo humo kwenye chama chake, halikadhalika kwa huyo mnaemuita jiwe, kuna watu huwaambii kitu kumuhusu huyo mzee wana mahaba nae ya dhati lakin wengine wanamchukia hadi wanaombea kwenye utawala wake nchi ipate majanga mazito yatakayopelekea vifo vya watu wengi, na ktk hao wengi watakaokufa nae afe
'Yesu Kristo alipendwa na wengi'

Daah Lugola bana aliwaweza wana CCM.
 
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
😂 msimu huu wanavyuo bumu lao limefyekwa balaa yaani wanatamani uchaguzi uwe hata kesho ili wamfyeke yeye. Ila kwa kweli hali ya kitaani ilivyo maumivu yake ni zaidi ya kuliwa bumu.
 
Kuna mwanafunzi mmoja kapewa nafasi ya kuongea yaani mwishoni kaomba waongezewe boom. Hajagusa kabisa suala la ajira baada ya chuo. Sasa sijui atasoma Udom maisha yake yote ?Hivyo boom ndo maisha yake yote ?
Na hajui hlo bumu analotaka aongezewe litamtesa kwenye maisha yake ya ajira, asipoangalia anaweza kulipa maisha yake yote...

Na hii mitoto ya siku hz unaendeshwa na bata tu.. Badala iwaze ikimaliza itapataje ajira.. Inawaza ela nying tu
 
Back
Top Bottom