Hahah si unaona ulivyo kamanda uchwara sasa,we unaleta report ya assad ya 2015-2016,2016-2017 mimi nakwambia habari ya 2019 up to now.Kuwekwa chini ya wakala ndege za serikali ndio Atcl haikaguliwi kamanda?
Mimi ni kamanda ninaetumia akili sikariri ushabiki.Kwa hiyo ukweli unaoujua we we ni UPI?!?!!
Kwa kutegemea data za polepole
Taratibu za sheria za nchi anazozisimamia kwa majigambo yeye MWENYEWE na kwazo kuwatumbua wengine, hazikufutwa.KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Kujenga kiwanja sio upotevu wa mapato,ni investment...miaka 50 toka sasa huo uwanja utawafaa vizazi vijavyoSo raisi Ni muhimu kuliko wananchi,thus kuendelea Ni ndoto, wenzetu Wana maendeleo sababu rais Ni mtumishi wa wananchi na sio mungu mtu.
Kama unadhibiti upotevu wa mapato kwa kuzuia mianya then unazidump fedha pasipotija Kuna tofauti gani na upotevu wa mapato.
Hujui kusoma kamanda,ilikuwa imecompile 2016-2019. Ila ni uthibitisho Atcl inakaguliwa. Mnaiabisha Chadema kwa ushabiki wa kijinga.Hahah si unaona ulivyo kamanda uchwara sasa,we unaleta report ya assad ya 2015-2016,2016-2017 mimi nakwambia habari ya 2019 up to now.
Ujinga ni kipaji arifu.
TARATIBU ZIPI HAZIKUFUATWA?Taratibu za sheria za nchi anazozisimamia kwa majigambo yeye MWENYEWE na kwazo kuwatumbua wengine, hazikufutwa.
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Akitoka tu madarakani unageuka wa kuchungia mbuzi na kujifunzia bodaboda na msaada wa kuanikia mazao.Hapo economic of scale haikuangaliwa. Na pia sio hitaji la wanachato. Je uwanja umetatua shida za wanachato.Kujenga kiwanja sio upotevu wa mapato,ni investment...miaka 50 toka sasa huo uwanja utawafaa vizazi vijavyo
TARATIBU ZIPI HAZIKUFUATWA?
KWANI UWANJA UMEJENGWA KIMAKOSA?
Mkuu Hali Ni ngumu kwako tu,kushindwa kwako kumudu gharama ya huduma fulani, hakufanyi huduma hiyo kukosa maana.Jamaa anapenda ndege! Hebu afanye utafiti ni watanzania wangapi Wana uwezo WA kupanda ndege ,anakera.
Rais anaamua kwa niaba ya wananchi,,sasa ikifika kila kitu kikitaka kununuliwa sharti tuulize wananchi mbona itakuwa michosho sana?Ni jambo jema kufufua Shirika letu japo walio liua ni Serikali ya CCM ,tatizo ni namna (njia) iliyo tumika ktk kulifufua.Raisi ameamua kila kitu na kutekeleza kitu bila ya ushirikishwaji wa Wnaanachi kupitia Bunge lao hali inayoacha Mashaka ya jambo hili kuwa valid.
Wajitoa fahamu?TARATIBU ZIPI HAZIKUFUATWA?
KWANI UWANJA UMEJENGWA KIMAKOSA?
Hoja ni kwamba kama ushirika linafanya vizuri kwanini ameenda kulificha kwenye vote ambayo haikaguliwi na CAG?Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Utatatua shida zao,miaka ijayo huo uwanja utakuwa muhimu sana kwa ku export samaki kwenda ulayaAkitoka tu madarakani unageuka wa kuchungia mbuzi na kujifunzia bodaboda na msaada wa kuanikia mazao.Hapo economic of scale haikuangaliwa. Na pia sio hitaji la wanachato. Je uwanja umetatua shida za wanachato.
Uje umuulize Kangi LugolaHuyu jamaa anahasira sana, sipati picha alivokuwa mwalimu, wanafunzi walipata shida sana.
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Inatakiwa JIWE ndio aseme, sio nyie wa nyuma ya keyboardLissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Mh, Rais wetu, Lissu mnamkuza mitandaoni, Hana hadhi, ropo ropo atapata wapi hadhi ya kupewa mdahalo na Mh. Rais wetu, Midahalo afanye Mitandaoni.