Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Uzuri wa haya mambo hata wapumbavu wanaoendelea kukikumbatia chama chake wanaisoma namba.View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Kwa kweli aisee! Huyu jamaa abapotea vibaya sana!!Uzuri wa haya mambo hata wapumbavu wanaoendelea kukikumbatia chama chake wanaisoma namba.
Rais gani yupo partial kiasi hiki, hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, sijui alifikaje hapo alipofika.Kwa kweli aisee! Huyu jamaa abapotea vibaya sana!!
Maendeleo Yana vyama lkn udikteta hauna vyama......Huyu si alitaka kuwa kiongozi wa malaika?
Si alisema maendeleo hayana vyama?
Si amewahi kusema kuwa hata kwa wapinzani anapeleka maendeleo habagui?
Hata mie nashangaa kwa kweliRais gani yupo partial kiasi hiki, hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, sijui alifikaje hapo alipofika.
Kwa hali hii ndugu. Hata nyie vilaza mtamgeuka jiwe. Mgombea wenu ana hali mbaya sana. Lissu kamchangamya kweli hakika!Hahahahaaa
Huyo mavyuma wenu hata 20% hatafikisha na kambi rasmi ya upinzania itaenda kwa ACT wakikokotoa wabunge wa kutosha toka Zanziber na kwao na BM
Dishi la jiwe halikogo sawa, ila baadhi ya watu hawaja mgundua tu!View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Mbona unakimbilia kusema mambo ya kura.Nakwanini zisizidi hiyo idadi uliyosema,maana ata kama nikuchakachua bado hamna jeuri yakuchakachuka kiasi hicho.Na usidhani mnakubalika kiivyo kama unavyojiaminisha.Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Genta the genius!! Huoni shida hapa mzee??? Haya ndo maneno ya kutamka kipindi cha kampeni????Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa Rais Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu tatizo Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29.Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.
Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakaniKwasasa CCM na JPM hawana mpinzani, walipoweza kuruka kihunzi cha 2015 walimaliza kila kitu. Kwasasa CCM ata uwaambie kesho tufanye uchaguzi hawana wasiwasi. Mbaka sasa CCM haija tumia ata nusu ya uwezo wao wa kushawishi, wanakusanya nguvu za 2025.
Tukutane October 2020. Endelea kuishi kwa kukariri tu ndugu. Utajua hujui mwaka huu!!Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29. Mpaka hapo zaidi ya nusu ni za CCM tu. Ni Virtual zipo vitabuni tu. So,hata Lissu afanyeje hawezi kushinda. Najaribu kuwaambia ukweli ili msiendelee kujidanganya kwa matumaini hewa. CCM haitegemei kura za wananchi. Mfano, hata wakipiga kura watu milioni 8 tu, jumla ya kura mwaka huu zitakuwa zaidi ya milioni 20. Kama una akili utanielewa, ila hata ukielewa huwezi kubadili lolote, hata huyo Lissu wenu hawezi. Endelea kushabikia u.senge wa sijui Robert Amsterdam.
Genta the genius!! Huoni shida hapa mzee??? Haya ndo maneno ya kutamka kipindi cha kampeni????
Unasema kabisa kwamba wewe una ubaguzi kwenye kugawa maendeleo ukiwa kiongozi??? Usiniangushe the genius huwa nakuamini sana ndugu yangu!!
Kiukweli hata mkewe anaweza kumnyima kuraHuyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Ni kweli kabisa unachosema, ila unapata nguvu ya kusema hivi kwasababu unajua kitakachofanyika. Ila ikitokea vyombo vya dola na tume ya uchaguzi vikaingiwa na roho wa Mungu vikaamua kutenda haki kwa kuhesabu na kutangaza kura halali kulingana na zilivyopigwa na kusema na liwalo na liwe, kitakachotokea nina hakika unakijuaNaona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Hahahahaha !!! Baba ingawa upo kikampeni ila haya ya huyu mzee Embu yakemee kama unavyomkemea Gwajiboy!!!Sasa hivi GENTAMYCINE nipo 'Kikampeni' zaidi Mkuu hivyo nakuomba tu 'tuvumiliane' kidogo kwani siwezi Kuacha Rais wangu Magufuli asishinde.