Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Hahahahhha !!! Yaani jamaa anasema ni sawa kupapendelea chato!!! Haya ni maneno ya kusema kwenye kampeni kwa kweli???? Sasa naamini kuwa Lissu anamlaza huyu mzee na viatu!!!Nilikuwa nacheki mubashara naona kuna muda aliposkia na kuona mafuriko ya lisu mbeya akatoka jukwaani kwenda maliwato,
Lisu unamlaza mtu na viatu kitandani
Hahahahaha !!! Baba ingawa upo kikampeni ila haya ya huyu mzee Embu yakemee kama unavyomkemea Gwajiboy!!!
Sasa hivi GENTAMYCINE nipo 'Kikampeni' zaidi Mkuu, hivyo nakuomba tu 'tuvumiliane' kidogo kwani siwezi Kuacha Rais wangu Magufuli asishinde.
Hili sio swala la Imani, hata Mbowe anajua huu ukweli.. ni mashabiki tu mliojaa hisia mnaoamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa Tanzania. Hii nchi inaongozwa na System, usipokubalika kwenye system huwezi kuwa Raisi. Kuna miiko ya System Lissu ameshaikiuka na hafai tena Milele. Ndo maana nikasema sio tu 2020 but NEVER.Kama una ndugu yako aliye sehemu nyeti serikalini siku moja kwenye kipindi hiki cha kampeni muulize atakuelezea vizuri.Kwanini unaamini hivyo?
Kwa sasa sitoweza kabisa 'Kumsema' Rais na Mwenyekiti wangu Taifa CCM kwani nina 'Jukumu' Kuu la Kuhakikisha kuwa anashinda huu Uchaguzi.
Uko sahihi kabisa, japo hategemei kushinda kwa kura yako, zaidi ya mbeleko ya tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Hizi kampeni ni ili ionekane kashinda kwa kura, ila matokeo tayari ameshapanga yaweje.
Joined agust 10, 2020 nawewe umekuja kuongeza likes😅😅Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Hatuwachukii watu wa ccm wala Jiwe. Tunachukia na kucukizwa na matamshi yanayokinzana na sheria za uchaguzi toka kwa wana ccm hasa Jiwe. Ukiweka siasa pembeni utagundua kuwa huyu Mgombea wenu anamatatizo fulani. Hafai kuwa Kiongozi. Mnambeba tu kwakuwa ni wa chama chenu cha kijani.Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Mtarudi na kelele za tume muda sio mrefu. CCM hata ichokwe vipi haitaondolewa na upinzani huu wa akina Lissu na Mbowe.Kuna tatizo gani asipokuwa rais? Nchi hii ina miaka 60 toka uhuru, na raia 59m+, idadi yote hiyo ya watu, ni watu watano tu wamekuwa marais. Hivyo hakuna tatizo kwani kwa ratio hiyo kuwa rais sio uwezo bali ni bahati. Tunachotaka ni ashindwe kihalali tu basi. Na uzuri kampeni hizi zimeonyesha kuwa ccm haina uwezo wa kushinda kihalali kwa kura zaidi vya 55%, na zama za ccm kuwa chama pekee zimeshapita na hazitakaa zirudi tena. Kinachofuata ni ccm kutolewa madarakani kwa amani, au kinyume chake muda si mrefu.
Hili sio swala la Imani, hata Mbowe anajua huu ukweli.. ni mashabiki tu mliojaa hisia mnaoamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa Tanzania. Hii nchi inaongozwa na System, usipokubalika kwenye system huwezi kuwa Raisi. Kuna miiko ya System Lissu ameshaikiuka na hafai tena Milele. Ndo maana nikasema sio tu 2020 but NEVER.Kama una ndugu yako aliye sehemu nyeti serikalini siku moja kwenye kipindi hiki cha kampeni muulize atakuelezea vizuri.
Acha waendelee kujipa matumaini hewa nawakati Mikutano ya mgombea wao Shinyanga, Tabora, na Dodoma ilibuma hadi ikawapelekea kuanza kuahariri picha.Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu
Hao watu wa JamiiForums wameshuka kutoka mbinguni?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums
Mbona mama yako ni mjinga lakina bado anaendelea kumsapoti .Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.
Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Sasa kama umeshajua kuwa CCM itashinda au imeshashinda mbona unasumbuka na kuteseka nayo hivi Mkuu? CCM itatawala 'Tanzania' hii Milele.
Huyu ni kiongozi wa kiwango cha chini mno ! alipataje urais huyu ?View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Ujie limagufuli anamfuatilia Lisu kwa ukaribu zaidi kuliko hata mimi na weweKwa hali hii ndugu. Hata nyie vilaza mtamgeuka jiwe. Mgombea wenu ana hali mbaya sana. Lissu kamchangamya kweli hakika!
Kwanini unaamini hivyo?
Watapata....asilimia 28 kwenda juu watapata.Naona mnatumia JF kujipa moyo.Yaan hata kura mil 2 hampati.Pole sana ndugu