“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Nini kinachokufanya ujiaminishe hivyoSehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Tumeccm NECCCM wanatembea na matokeo mifukoni kwa njia haramu, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaichagua CCM, kitakachokuja kufanyika ni NECCCM kuwatangaza CCM ni washindi kwa njia haramu za kishetaniNani amekuambia ccm itashinda, ccm itatangazwa washindi na sio kushinda. Hapa tunachofanya ni kupush mkapewe huo ushindi wa mezani na sio wa kura. Ccm kutawala milele sio shida maana sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Hivyo kwetu tunachukulia ccm kutawala, ni kama nchi iliyopinduliwa na jeshi.
Pesa za walipa kodi wa eneo husika anazipangia matumizi hiki ni kituko cha karneHuyu mzee mbaguzi sana
Ni watz waliojazwa hofu na wakukubali kuwa na uoga.Mimi binafsi sijawai muelewa jiwe, nashangaa baadhi ya watz wenzangu wanapomsifia huyu mtu
Ha ha ha ha wapo wengine akina Lipumba Shibuda CCM B ni vigumu kwa Tanzania kupiga hatua kimaendeleo endapo tutaendelea kuendeleza vitendo vya hovyo tokea CCMUmemsahau Propesa Kabundi.
Sio mbaguzi tu nadhani ni mwendawazimuHuyu mzee mbaguzi sana
Marehemu mkapa alikuwa kachoka vituko akataka kutema nyongo lakini wakamuwahi sasa yupo kaburini mungu amlaze mahala pema peponiMzee mkapa ametuachia kituko
ccm hawana maana hivi walikosa MTU wa kupeperusha bendera mpaka wakampa huyu bwana
Aliwahi sema kuwa walimsukumia tu
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM bali maendeleo ni pesa za walipa kodi wa eneo husikaSio mbaguzi tu nadhani ni mwendawazimu
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM bali maendeleo ni pesa za walipa kodi wa eneo husika
Nini kinachokufanya ujiaminishe hivyo
Kama
2005 Kikwete alipata kura Milioni 9
Sawa na 80%
2010 Kikwete kura milioni 5
Asilimia 61
2015 Maguful ccm pamoja na kuibakoote walipata
Asilimia 58.
Hapo ukumbuke mwenyekiti wa NEC ni wao (wanamteua wao)
Mkurgenzi ni wao (wanamteua wao)
Wakurugenzi wa halmashauri ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi wanateuliwa na mwenyekiti wa ccm, ni makada wao.
Majeshi yote wanaamrisha wao
Kodi zetu (hazina) wanasimamia wao na wanazitumia sana kwenye kampeni
Unaweza ukaona CCM walivyo wepesi kuondoka madarakani kwakuwa wananchi ndio tunaamua
Na tumeamua tumeichoka ccm na tunaiangusha vibaya hakuna wa kutuzuia.
Mtabeba watu sana kwenye malori kuwalazimisha watumishi kuja kwenye mikutano yenu lakini ukweli unajulikana na hamtakuwa nao kwenye sanduku la kura.
Ndugu mtabiri, ebu tutabirie ni nani atakaa awe Rais?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Wako kwenye danger zone na bado wanajidanganya wanapendwa na wananchi.Kwa hiyo 80%,61%58%....
Hali Ni tete.
Naunga mkono hojaKama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ipo kwenye G5 na ingekuwa na kura ya veto
ni lini ulikaa na Mungu mkapanga hayo?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)