Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Huyu mzee ana bahati sana watanzania wengi ni wapumbavu. Nchi ingekua ina watu waliosoma wengi na wana akili yaani angekua jela tayari, zee jinga sana hili lina maneno ya chuki sana
 
Hivi bajeti za kila wizara zinaandaliwa na wizara? Au Raisi? Maana Mimi nilidhani Raisi kazi yake nikusimamia utawala wa nchi na issue wizara zinatoka kwenye wizara husika.
 
<blockquote class="twitter-tweet"><p lang="in" dir="ltr">“Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi”-JPM <a href="https://twitter.com/hashtag/MillardAyoUPDATES?src=hash&amp;ref_src=twsrc^tfw">#MillardAyoUPDATES</a> <a href="https://t.co/Cz2vtYzvhC">pic.twitter.com/Cz2vtYzvhC</a></p>&mdash; millardayo (@millardayo) <a href=" ">September 6, 2020</a></blockquote> <script async src="https://platform.twitter.com/widgets.js" charset="utf-8"></script>
 
Je wakimchagulia anaowataka kama ilivyokuwa sm na bado maendeleo anayoahidi yakagoma anajua bomu analounda?
Niliwahi kuandika humu TATIZO SI YEYE BALI "WABOVU WALIOMZUNGUUKA"
Kwa ambao hamjaelewa (TATIZO NI FISIEMU YENYEWE)
 
Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.
 
Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.
Kwani lazima yeye awe rais wetu? Muhula mmoja unamtosha sana, tushajuta miakamitano, bado anataka tujute tena
 
Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Huoni tatizo kwenye hayo maneno? yanafanana na kiapo chake kama Rais wa nchi? au yeye ni Rais wa CCM? MBUNGE alichaguliwa na wapinzani wa bunda au wananchi wa Bunda wakiwemo wana CCM? kodi anayoitumia kuleta hayo maendeleo wananchi wa Bunda hawatoi? mwambieni hayo maneno ni hatari kuliko ukoma yanahitaji ufundi mdogo sana kugeuziwa kibao wananchi wote wakamuona hafai, yeye ni kiongozi wa watu wote sio kiongozi wa wana CCM. Na kama yeye haoni hilo hafai kuwa Rais,lazima atambue anaishi,na anafanya kazi kwa kodi za watanzania sio za wana CCM.
 
Huyu mzee ana bahati sana watanzania wengi ni wapumbavu. Nchi ingekua ina watu waliosoma wengi na wana akili yaani angekua jela tayari, zee jinga sana hili lina maneno ya chuki sana
Kanunua Ndege kienyeji pasipo idhini ya bunge kala 10% kajenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, huchukua pesa Hazina kienyeji pasipo idhini ya bunge na bado wamekuwa wakiwabambikia kesi chadema na uonevu wa kila aina.
 
Wapo watanzania wengi hawana vyama hawapo chadema hawapo CCM lakini wanalipa kodi za maendeleo vizuri, kuwakomoa wananchi kuwanyima maendeleo kisa wameikataa CCM ni ushetani wa kutisha sana ni aina za siasa za kishamba na haramu
 
Kwani lazima yeye awe rais wetu? Muhula mmoja unamtosha sana, tushajuta miakamitano, bado anataka tujute tena
Uonevu unyanyasaji alioufanya kwa miaka mitano unatosha
 
Kwanza ilibidi Tume na
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Kwanza ilibidi NEC na
Watu wa Haki za binadamu wakemee,kwa sababu huu Ni mfumo wa vyama vingine,Utazuiaje watu wasimchaguenakubaliana
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakani
Nakubaliana na wewe.
 
Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.
anamtishia mlipa kodi kwa lugha ingine ni kuwafundisha wananchi kukwepa kodi kwani hakuna Mtanzania anataka alipe kodi asipate maendeleo.
 
Kwanza ilibidi Tume na
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Kwanza ilibidi NEC na
Watu wa Haki za binadamu wakemee,kwa sababu huu Ni mfumo wa vyama vingine,Utazuiaje watu wasimchaguenakubaliana
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakani
Nakubaliana na wewe.
 
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Na bado wapumbavu watampigia kura, hapo wana maisha magumu balaa yaani bora ukose kazi ila upate elimu
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM bye bye
 
Kwa upande mwingine waweza kuwa unazungumza ukweli vile! Waweza kuwa umo ndani ya system na unazungumza uhalisia wa CCM ilivyojipanga kuhusu kuiba kura.
 
A Achana nae, unajua watu wa CCM mifumo yao ya mwili imebadilika, ubongo uko tumboni, via vya uzazi viko kichwani, sasa kama hapo hauoni mtu anafikiria kwa kutumia "sha*" au menstruation cycle iko kichwani, wanakera na wanastahili lugha "ngumu na mbovu".
 
Mwiko alioukiuka ni kwamba hakufa alipopigwa risasi, basi. Kwani akichaguliwa kuwa rais, cha kwanza ni kufanya reshuffle usalama wa taifa, na hili halikubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…