Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Huyu mzee ana bahati sana watanzania wengi ni wapumbavu. Nchi ingekua ina watu waliosoma wengi na wana akili yaani angekua jela tayari, zee jinga sana hili lina maneno ya chuki sana

Hivi bajeti za kila wizara zinaandaliwa na wizara? Au Raisi? Maana Mimi nilidhani Raisi kazi yake nikusimamia utawala wa nchi na issue wizara zinatoka kwenye wizara husika.

“Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi”-JPM #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/Cz2vtYzvhC
— millardayo (@millardayo) September 6, 2020

“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”

"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli

View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea

Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
Je wakimchagulia anaowataka kama ilivyokuwa sm na bado maendeleo anayoahidi yakagoma anajua bomu analounda?
Niliwahi kuandika humu TATIZO SI YEYE BALI "WABOVU WALIOMZUNGUUKA"
Kwa ambao hamjaelewa (TATIZO NI FISIEMU YENYEWE)

“Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi”-JPM #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/Cz2vtYzvhC
— millardayo (@millardayo) September 6, 2020

Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.

Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.
Kwani lazima yeye awe rais wetu? Muhula mmoja unamtosha sana, tushajuta miakamitano, bado anataka tujute tena

Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Huoni tatizo kwenye hayo maneno? yanafanana na kiapo chake kama Rais wa nchi? au yeye ni Rais wa CCM? MBUNGE alichaguliwa na wapinzani wa bunda au wananchi wa Bunda wakiwemo wana CCM? kodi anayoitumia kuleta hayo maendeleo wananchi wa Bunda hawatoi? mwambieni hayo maneno ni hatari kuliko ukoma yanahitaji ufundi mdogo sana kugeuziwa kibao wananchi wote wakamuona hafai, yeye ni kiongozi wa watu wote sio kiongozi wa wana CCM. Na kama yeye haoni hilo hafai kuwa Rais,lazima atambue anaishi,na anafanya kazi kwa kodi za watanzania sio za wana CCM.

Huyu mzee ana bahati sana watanzania wengi ni wapumbavu. Nchi ingekua ina watu waliosoma wengi na wana akili yaani angekua jela tayari, zee jinga sana hili lina maneno ya chuki sana
Kanunua Ndege kienyeji pasipo idhini ya bunge kala 10% kajenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, huchukua pesa Hazina kienyeji pasipo idhini ya bunge na bado wamekuwa wakiwabambikia kesi chadema na uonevu wa kila aina.

Huoni tatizo kwenye hayo maneno? yanafanana na kiapo chake kama Rais wa nchi? au yeye ni Rais wa CCM? MBUNGE alichaguliwa na wapinzani wa bunda au wananchi wa Bunda wakiwemo wana CCM? kodi anayoitumia kuleta hayo maendeleo wananchi wa Bunda hawatoi? mwambieni hayo maneno ni hatari kuliko ukoma yanahitaji ufundi mdogo sana kugeuziwa kibao wananchi wote wakamuona hafai, yeye ni kiongozi wa watu wote sio kiongozi wa wana CCM. Na kama yeye haoni hilo hafai kuwa Rais,lazima atambue anaishi,na anafanya kazi kwa kodi za watanzania sio za wana CCM.
Wapo watanzania wengi hawana vyama hawapo chadema hawapo CCM lakini wanalipa kodi za maendeleo vizuri, kuwakomoa wananchi kuwanyima maendeleo kisa wameikataa CCM ni ushetani wa kutisha sana ni aina za siasa za kishamba na haramu

Kwani lazima yeye awe rais wetu? Muhula mmoja unamtosha sana, tushajuta miakamitano, bado anataka tujute tena
Uonevu unyanyasaji alioufanya kwa miaka mitano unatosha

Kwanza ilibidi Tume na
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Kwanza ilibidi NEC na
Watu wa Haki za binadamu wakemee,kwa sababu huu Ni mfumo wa vyama vingine,Utazuiaje watu wasimchaguenakubaliana
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakani
Nakubaliana na wewe.

Hapo Magufuli amekosea sana. Unamtisha mtu mzima eti mkichagua mtu wa chama tofauti mtajuta...Magufuli is a disgrace to this country. He must go.
anamtishia mlipa kodi kwa lugha ingine ni kuwafundisha wananchi kukwepa kodi kwani hakuna Mtanzania anataka alipe kodi asipate maendeleo.

Kwanza ilibidi Tume na
Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Kwanza ilibidi NEC na
Watu wa Haki za binadamu wakemee,kwa sababu huu Ni mfumo wa vyama vingine,Utazuiaje watu wasimchaguenakubaliana
Hakuna mwaka ambao ni rahisi kuwatoa madarakani CCM kama mwaka huu. Amini amini nakwambia. Mtu asiye na support ya watumishi wa umma ni rahisi sana kutoka madarakani
Nakubaliana na wewe.

Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Na bado wapumbavu watampigia kura, hapo wana maisha magumu balaa yaani bora ukose kazi ila upate elimu

Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM bye bye

Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29. Mpaka hapo zaidi ya nusu ni za CCM tu. Ni Virtual zipo vitabuni tu. So,hata Lissu afanyeje hawezi kushinda. Najaribu kuwaambia ukweli ili msiendelee kujidanganya kwa matumaini hewa. CCM haitegemei kura za wananchi. Mfano, hata wakipiga kura watu milioni 8 tu, jumla ya kura mwaka huu zitakuwa zaidi ya milioni 20. Kama una akili utanielewa, ila hata ukielewa huwezi kubadili lolote, hata huyo Lissu wenu hawezi. Endelea kushabikia u.senge wa sijui Robert Amsterdam.
Kwa upande mwingine waweza kuwa unazungumza ukweli vile! Waweza kuwa umo ndani ya system na unazungumza uhalisia wa CCM ilivyojipanga kuhusu kuiba kura.

A
Umeona wanaongelea idadi ya kura hapo?
Hayo ni maneno ya kusemwa na kiongozi wa nchi? Kwanini kujitoa ufaham unaleta habari isiyohusika?

Nikikuuliza uchaguzi uliopita wapiga kura wangapi walijiandikisha, wangapi walipiga kura, idadi ya waliopata kila mgombea unaweza kuziweka kwa mlinganyo sawa ukapata majibu ya kueleweka? Ikiwa mwenyekiti wa tume mwenyewe alikiri makosa kwenye idadi wewe unaanzaje kuongelea kura 2M wakati hata sio hoja kwenye huu mjadala?
Achana nae, unajua watu wa CCM mifumo yao ya mwili imebadilika, ubongo uko tumboni, via vya uzazi viko kichwani, sasa kama hapo hauoni mtu anafikiria kwa kutumia "sha*" au menstruation cycle iko kichwani, wanakera na wanastahili lugha "ngumu na mbovu".

Hili sio swala la Imani, hata Mbowe anajua huu ukweli.. ni mashabiki tu mliojaa hisia mnaoamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa Tanzania. Hii nchi inaongozwa na System, usipokubalika kwenye system huwezi kuwa Raisi. Kuna miiko ya System Lissu ameshaikiuka na hafai tena Milele. Ndo maana nikasema sio tu 2020 but NEVER.Kama una ndugu yako aliye sehemu nyeti serikalini siku moja kwenye kipindi hiki cha kampeni muulize atakuelezea vizuri.
Mwiko alioukiuka ni kwamba hakufa alipopigwa risasi, basi. Kwani akichaguliwa kuwa rais, cha kwanza ni kufanya reshuffle usalama wa taifa, na hili halikubaliki.

Back
Top Bottom