Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Bunda walijichanganya wenyewe, Utawapelekeaje Barabara watu wanaokutukana?

Amesema ukweli mnageuza maneno huwezi kufanya jambo jema kwa mtu ambaye anakutukana.
 
Ila Kodi zao mnazitaka.Jpm asitafute mchawi, adui wake mkuu ni mdomo wake.
 
Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Kauli ya rais inavunja kiapo chake alichokula kuliunganisha taifa. hatuwezi kuwa na rais anayeligawa taifa letu
 
Tume ya uchaguzi na judiciary msaidieni otherwise ataigawa nchi.Amefanya mengi makubwa anatakiwa awe composed na kutuahidi mengine makubwa lakini huu ubaguzi anaojenga hautasaidia.
 
Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Wewe unaesema haya kama nani unaetuamulia sote? hivi wewe mwenyewe unaijuwa hata kesho yako itakuwaje? utakuwa hai au la? Wewe nani kwani unaetusemea sote...tulikutuma?
 
Kauli zake hizi na vitendo vyake vinamtoa kabisa kwenye usukuma ,hizi Kauli na vitendo vyake ni vya kihutu kabisa.
 
Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Unazungumziaje hayo maneno ya jiwe?
 
Kuna watu na viumbd hai, wewe ni kiumbe hai.
 
Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Uzi huu haumuhusu Mh. Lussu.
Huo ujuha wako peleka kwa majuha wenzako.
 
Mliambiwa huyo alipashwa kuwa mnyapara wa barabara Karama ya uongozi hana.

Sasa hao wananchi wakichagua wapinzani ndio wanaacha kulipa kodi. Tatizo sugu la Magufuli ni kufikiri kuwa pesa za serikali ni zake binafsi na ndio maana anazitumia ovyo kwa miradi ya kipuuzi ikiwa ni pamoja na kununulia wanasiasa wa vyama vya upinzani. Bure kabisa.
 
Tatazo la CCM ya kishetani imejaza washauri vituko, ebu fikiria mfano cyprian Musiba, Le mutuz na polepole ni washauri wa CCM unategemea nini hapo? huu ujinga wa CCM ndiyo umedumaza maendeleo kwa miaka yote.

Tume iamue inataka uchaguzi ufanyie au usifanyike, sisi tumejiridhisha katika majimbo yetu yote 62 ya ubunge, wagombea wetu wamejaza fomu sawasawa na hakuna mgombea ambaye amekose chochote".Zitto Kabwe.
 
Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.

Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Acha kuota saa saba mchana.
 
Maendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi wa Eneo husika acheni ushetani wenu wa kishamba tokea kolomije na chato.
Mkuu minyoo heri sasa unakubali maendeleo ni ya vitu
 
Sijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Huu ni uchaguzi ambao sisi wakongwe wa CCM tunakiri Lisu katushtukiza sana. Tutaiba tu kura kwa gharama yoyote
 
Tume ya uchaguzi na judiciary msaidieni otherwise ataigawa nchi.Amefanya mengi makubwa anatakiwa awe composed na kutuahidi mengine makubwa lakini huu ubaguzi anaojenga hautasaidia.
Huyu jamaa kachanganyikiwa big time. Leo kapiga kampeni kwa kilugha. Huyu jamaa yaani ameshapotea vibaya sana. Na mbaya zaidi leo ndo kawatisha kabisa wapiga kura Eti wasichague upinzani. Huyu dawa yake asipate ata kula 50,000 hapo October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…