Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kodi zao mwazitaka? Huyu rais kwa kuvunja katiba hajamboAmesema ukweli mnageuza maneno huwezi kufanya jambo jema kwa mtu ambaye anakutukana.
Kauli ya rais inavunja kiapo chake alichokula kuliunganisha taifa. hatuwezi kuwa na rais anayeligawa taifa letuSijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Tume ya uchaguzi na judiciary msaidieni otherwise ataigawa nchi.Amefanya mengi makubwa anatakiwa awe composed na kutuahidi mengine makubwa lakini huu ubaguzi anaojenga hautasaidia.“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida
INASIKITISHAAAAKauli ya rais inavunja kiapo chake alichokula kuliunganisha taifa. hatuwezi kuwa na rais anayeligawa taifa letu
Wewe unaesema haya kama nani unaetuamulia sote? hivi wewe mwenyewe unaijuwa hata kesho yako itakuwaje? utakuwa hai au la? Wewe nani kwani unaetusemea sote...tulikutuma?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Unazungumziaje hayo maneno ya jiwe?Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Kuna watu na viumbd hai, wewe ni kiumbe hai.Hata mlale mnatambika,hata ndugu zako wote na ukoo wenu wote mumpigie kura Lissu, hawezi kuapishwa kuwa Raisi wa Tanzania. Kampeni tunafanya ushahidi tu kukamilisha ratiba. Ndo maana mmeambiwa waliojiandikisha ni milioni 29. Mpaka hapo zaidi ya nusu ni za CCM tu. Ni Virtual zipo vitabuni tu. So,hata Lissu afanyeje hawezi kushinda. Najaribu kuwaambia ukweli ili msiendelee kujidanganya kwa matumaini hewa. CCM haitegemei kura za wananchi. Mfano, hata wakipiga kura watu milioni 8 tu, jumla ya kura mwaka huu zitakuwa zaidi ya milioni 20. Kama una akili utanielewa, ila hata ukielewa huwezi kubadili lolote, hata huyo Lissu wenu hawezi. Endelea kushabikia u.senge wa sijui Robert Amsterdam.
Uzi huu haumuhusu Mh. Lussu.Sehemu pekee nchini Tanzania ambapo waweza kudhani Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii ni Jamii Forums tu. Ila ukweli na uhalisia ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Tanzania. Sio 2020 tu, ni NEVER (KAMWE)
Tatazo la CCM ya kishetani imejaza washauri vituko, ebu fikiria mfano cyprian Musiba, Le mutuz na polepole ni washauri wa CCM unategemea nini hapo? huu ujinga wa CCM ndiyo umedumaza maendeleo kwa miaka yote.
Acha kuota saa saba mchana.Huyo mgombea wenu sasa anawafanya hata wale wajinga waliokuwa wanam support kumgeuka.
Kwa haya maneno nawaambia mtashangazwa hiyo October 2020 mkiona Lissu anampiga vibaya huyu mtu wenu kwenye Sanduku la kura!!
Mkuu minyoo heri sasa unakubali maendeleo ni ya vituMaendeleo siyo Hisani ya CCM wala pesa binafsi tokea mfukoni mwa mtukufu mwenyekiti wa CCM, maendeleo ni pesa za walipa kodi wa Eneo husika acheni ushetani wenu wa kishamba tokea kolomije na chato.
Huu ni uchaguzi ambao sisi wakongwe wa CCM tunakiri Lisu katushtukiza sana. Tutaiba tu kura kwa gharama yoyoteSijaona tatizo lolote hapa kwa Mheshimiwa 'Rais' Kuongea hivi sana sana ninachokiona tu 'tatizo' Kubwa katika aina yako ya Uelewa na Kufikiria tu.
Nyota ya huyo mnayemchafua kupitia majukwaa ya ChademaNyota gani inang’aa???[emoji23][emoji23]
Mpeni mapumziko magufuli. Amechanganyikiwa vibayaAcha kuota saa saba mchana.
Huyu jamaa kachanganyikiwa big time. Leo kapiga kampeni kwa kilugha. Huyu jamaa yaani ameshapotea vibaya sana. Na mbaya zaidi leo ndo kawatisha kabisa wapiga kura Eti wasichague upinzani. Huyu dawa yake asipate ata kula 50,000 hapo OctoberTume ya uchaguzi na judiciary msaidieni otherwise ataigawa nchi.Amefanya mengi makubwa anatakiwa awe composed na kutuahidi mengine makubwa lakini huu ubaguzi anaojenga hautasaidia.