Yeye ni raisi 2015-2025, acheni awaambie ukweli.Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ni raisi 2015-2025, acheni awaambie ukweli.Huyu jamaa ana hali mbaya sana. Sijui kama yupo sawa upstairs. Haya si maneno ya kutamka kwenye kampeni aisee
Hakuna kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa! Ingawa ukweli unauma.Hahahahaha not this way. This is highest degree of insanity!!
“Bunda walijichanganya wenyewe, Ilani hii lengo kutengeneza Barabara kutoka kwa Lugola kule tukaunganishe na ukerewe kuja hadi Bunda baadaye tunaipasua hadi Serengeti lakini utawapelekeaje Watu wanaokutukana?, hata kama ni Malaika utagoma kidogo”
"Lakini utawapelekeaje watu wanaokutukana hata kama ni malaika utagoma kidogo. Mimi sio malaika nina roho na moyo na hata ukiwa na chakula kizuri huwezi ukampelekea mtoto wa jirani utampelekea mtoto wako wa kuzaa kama ana njaa" - Magufuli
View attachment 1559749
Huyu jamaa asipoangalia anaweza kosa kura hata za wajinga anaowategemea
Maana sasa watu wanaanza kuona rangi zake halisi kuwa ni mtu Mwenye roho mbaya, chuki na visasi visivyo vya kawaida

Kwa hali hii, nazid kuamini kuwa huyu atakuwa one term President. He is really one term president. Mark my wordsYeye ni raisi 2015-2025, acheni awaambie ukweli.
Ndo mana mwisho wake kuwa raisi utakuwa November 2020. Kama Mungu aishivyo huyu jamaa hawi two terms President hapa Tanzania.Hakuna kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa hapa! Ingawa ukweli unauma.
Huyu jamaa hafaiKigeugeu sana
Nalog off
Ni heri yeye kuliko hao waliosema tutashtakiwa MIGA halafu hao hao wazungu wakaja kukubaliana na ubia wa kibiashara.Mpeni mapumziko magufuli. Amechanganyikiwa vibaya
Dalali wa wazungu ni yule aliyetuahidi tutalipwa trilioni 490 na kila mtu atapata Noah alafu leo kawa kimya kama kamwagiwa maji!Ni heri yeye kuliko hao waliosema tutashtakiwa MIGA halafu hao hao wazungu wakaja kukubaliana na ubia wa kibiashara.
Ni heri yeye kuliko dalali wa wazungu mwenye kuwasilisha maslahi yao.
Unataka upewe Noah ya bure bure bila aibu.Dalali wa wazungu ni yule aliyetuahidi tutalipwa trilioni 490 na kila mtu atapata Noah alafu leo kawa kimya kama kamwagiwa maji!
Huyu jamaa mwamini kitu kimoja tu kwa kila vitu kumi alivyozungumza/anavyoahidi. Anajua kubadilika badilika hata kinyonga anasubiri sanaHuyu si alitaka kuwa kiongozi wa malaika?
Si alisema maendeleo hayana vyama?
Si amewahi kusema kuwa hata kwa wapinzani anapeleka maendeleo habagui?
Sasa kulikoni anapiga U-turn
lakini kodi kwake unachukua! Baniani baya kiatu chake dawa! Kama kweli kayasema hayo, tukubali kuwa labda alitelezaAmesema ukweli mnageuza maneno huwezi kufanya jambo jema kwa mtu ambaye anakutukana.
Nyomi ya kuja kuona wasanii na tamasha la muziki ndo nyomi la Ccm. Mbaya zaidi mnalazimisha hadi watumishi na wanafunzi wasifanye kazi na kusoma ili waende kwenye kampeni zenu. Kweli Ccm mmeishiwa.Watu wanakuja kuona vyuma anavyosema anavyo mwili wake wote. Hata hivyo wingi wa watu katika mikutano ya Lissu huwezi kulinganisha na mikutano ya JPM. Ya JPM inakuwa na nyomi ya kutisha.
Lakini kodi wote tunalipa yaani achuki huyu mzee.Palipo na mbunge wa upinzani amekuwa akiwaambia wapiga kura sehemu husika walikosea kuchagua, kauli hii imekuwa ikinikera mpaka imebidi leo niseme. Kwa hakika ni yeye ndiye tuliokosea kuchagua maana kwa muda wa miaka mitano tu ameusambalatisha umoja wa kitaifa ambao waasisi wameupigania kwa miaka zaidi ya hamisini.
Ni katika utawala wake kumekuwepo na sehemu zinazoitwa kanda ya ziwa, eneo la kaskazini na sasa eneo la kusini kwa akina Membe, umoja wa kitaifa kwisha kazi. Kiongozi hupimwa kwa kauli na tabia zake ambazo kweli nyingi zina ukakasi. Mzee Mkapa nakumbuka hotuba zake za mwisho wa mwezi alikuwa anasoma, ina maana kitu kikiandikwa huhaririwa kwanza kabla hakijasomwa ili kuondoa kauli zinazoweza kuleta utata, mwenzetu huyu ni kanyaga twende tu bila kujali kauli ni kama risasi ikitoka hairudi.
Rais wakati wa kutawazwa hula viapo viwili kwa mpigo akiwa ameshika biblia au kitabu kingine kwa imani yake, kiapo cha kwanza ni kuilinda katiba, kiapo cha pili kuwatumikia wananchi wote sawa bila ubaguzi wa dini, itikadi, kabila au rangi, sasa kauli ya kusema mlikosea kuchagua inatoka wapi ukizingatia hiki kiapo cha pili?
Mtu huyu bwana mungu tu anasaidia.