Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo yeye ameshachaguliwa?View attachment 1560349
Nachojua mimi huu ni muda wa kuuza sera na sio kutisha wapiga kura na kutumia mabavu. Ni muda wa kushawishi. Kama hali ni mbaya basi ashauriwe kupimzika kidogo ajitafakari na kutuliza mawazo
Kama Chadema inakufa mbona Mzee Pombe anapanic namna hii hadi anaongea kwa jazba na kuwatisha wapiga kura 🤣🤣🤣🤣Chadema inakufa mwaka huu uchaguzi huu ndio mwisho kwao
Unafanya mchezo na TL nini mkuu!! Mtu kavurugwa hana hamuwakuu mimi naelewa mfumo wa vyama vingi ni ili tupate fursa ya kuchagua mtu tunayemtaka
waje wagombea wa vyama mbalimbali watoe sera zao tutakayeona anafaa tumpe kura
sasa cha kushangaza mgombea wa CCM anakua kama vile anatulazimisha nani tumchague kua mbunge au diwani!
mara kwa mara amekua akitisha watu mara mkichagua chama kingine mtaniudhi mara mtajijua mara siwezi kupeleka chakula kwa jirani nikawaacha watoto wangu, mara mkichagua wapinzani maendeleo mtayasikia kwingine
mara mtajuta kwa miaka mitano!
sasa hiki ndio nini? kwaiyo sisi tuchague kiongozi hata kama ni mbovu kisa tunaogopa vitisho? nini maana ya uchaguzi sasa?
kwani lazima kila mtu aichague CCM?
mimi siipi kura ccm sasa kwanzia Rais mpaka diwani sichagui CCM kama ni kujuta nijute sasa
mbona tangu 2015 mpaka sasa kwanza tunajuta kwanini tulikuchagua
tusipangiane cha kufanya tafadhali
Huko Magu, Magufuli amesikia alitoa vitisho kwa wananchi baada ya kumkataa mgombea wa Ubunge na Udiwani
Magufuli amewaambia hebu wasimchague kisha waone kisha akaendelea kuongea Kisukuma
"Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi"
Nimeifatilia, pia kawaambia "WAKIJISKIA WAMCHAGUE"
Huyu jamaa ana akili ka za raia wa zama za mawe.
Duh... Kaongea kisukuma!??... Hii tume waje watoe maelezo Kama Ni sahihi au...
Tz Ni wamoja nchi moja.
Miaka mitano ya machungu zaidi inakuja
Dalili za mvua ni mawingu
Magufuli ni kiongozi mwepesi sana na muoga mno ! huyu hawezi mdahalo wowote na yeyote .
Nawasikitikia sana wananchi waliomuumbua leo maana ni lazima watakamatwa
Kinachotakiwa ni kuwa na katiba huru na kuwepo na kipengele cha kupinga matokeo ya rais haiwezekani kwa kauli hii halafu mtu aseme kachaguliwa bila kutisha watu. Kungekuwa na kupinga mahakamani Magu anakila pingamizi.Huyu kapagawa hakutegemea kama game ingebadidili namna hii! sasa anabutua tu bila kulenga goli, Lisu aendelee kupiga spana hadi atoke nje ya uwanja.
Mikutano ya hovyo ya vitisho haina maana.Endeleeni kufanya kamkutano kamoja kila Siku, mwenzenu mpaka muda huu kafanya mikutano mitano.
Hamko serious na kampeni nyie