chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Undava undava tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wewe peke yako ndio ulipoteza!tumeshapoteza mitano bure, tutajaribu mwingine
We mzee upo kumbe na naona nawe umevishwa yale manguo yetu😂😂😂😂Fakeni
hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm
Ataiba kuraAngekuwa mtu wa kujifunza angeshajifunza ila ni mtu mmbishi na mkorofi na dadili zote zinaonesha ataangukia pua.
Hako hako kamkutano kamoja kuna watu wanajinyea huko, je tukianza kampeni ya jimbo kwa jimbo?Endeleeni kufanya kamkutano kamoja kila Siku, mwenzenu mpaka muda huu kafanya mikutano mitano.
Hamko serious na kampeni nyie
Kumbe bado haijafaChadema inakufa mwaka huu uchaguzi huu ndio mwisho kwao
"Wogaphilia". Anahangaika."Hatuchagui Mtu wala sura, hata sura yangu ni mbaya, tunachagua Vyama , huwezi kuchanganya mambo Rais awe CCM wengine Vyama vingine, Mimi sifichagi nawaeleza ukweli fanyeni makosa mtajuta, nileteeni Mbunge na Diwani wa CCM, mkiniletea mwingine itaniuzi"
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hiyo Meko hajui 'kupiga pamba'?Ni twin brothers tofauti yao ni kuwa Mobutu alikula bata la uhakika kuanzia pamba.
Meko hajielewi, he is the president for all wrong reasons.Halafu dakika chache baadae utamsikia akisema "Maendeleo ndugu zangu hayana chama"
Kazi kweli kweli.
Miaka mitano ya machungu zaidi inakuja
Dalili za mvua ni mawingu
Pamoja na yote hayo, bado anapumulia machine.Halafu Magu anatembea na tbccm utafikiri ni mali ya chato. Hakuna kabisa mizania ya utangazaji.
tutachagua upinzani ili utengeneze mfumo ambao maendeleo yatokane na maamuzi ya bunge sio kwa hisani ya rais.hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm
Kuna thread yako moja unasema CCM wanafanya kampeni kistaarabu sana.
Bado una msimamo huo?