Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Msifanye makosa kuchagua kiongozi kwa kujaribu, mtapoteza miaka mitano bure!

hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm

wewe ni mupuuzi mbona majimbo ya CCM ndio yanaongoza kwa umaskini?
 
"Wogaphilia". Anahangaika.
 
hawajatishwa bali wameelezwa ukweli.....maaana ccm ndio chama kinacho tawala....hivyo mkichagua wapinzania mtakuwa mmejimaliza wenyewe.......sahau maendeleo. bali mkitaka maendeleo chagua Rais wa Ccm Mbuge wa ccm na diwani wa ccm
tutachagua upinzani ili utengeneze mfumo ambao maendeleo yatokane na maamuzi ya bunge sio kwa hisani ya rais.

nchi sio mali ya rais. maendeleo ni maamuzi ya wananchi kupitia kwa wawakilishi wao.

tutachagua chadema ili iongeze nguvu ya serikali za mitaa wananchi wajiamulie vipaumbele vyao.

Jiwe amechukia kusikia kutakuwa na wabunge wa upinzani anaona lengo lake la kubadili katiba linaanza kushindikana.
 
Kuna thread yako moja unasema CCM wanafanya kampeni kistaarabu sana.

Bado una msimamo huo?

Hata mimi nilishangaa kwa post ile. Sasa huo ni mwanzo tu na leo ni siku ya 11 ya kampeni. Kadiri muda unavyosoogea ccm wataanza mambo ya ajabu, na Magufuli ndio atakuwa kiongozi wa hayo. Muda ni mwalimu mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…